man, hali ni mbaya.. na sisi tusiuzeuze sana vitu.. na hiz mvua za mwaka huu dah!
Mungu atusaidie wote tu!
Mi nilimshangaa jamaa kaleta hoteliVipi unaleta hoteli, nilidhani tulikuwa kwenye residential!? We vipi!?
Kumbe hamna!?
Bwahahaaa!!feelings nazoI have been to Mombasa, Nairobi and Kisumu and thought I was in the fourth world lol. By the way is Kenyan who started this stupid thread, pure childish.


Joho ali trend hata zaidi ya jiwe hapa afrika ma hicho hicho kiswahiliMagufuli speaks Swahili only but catching up the whole world attention, kuna Rais anabwatuka kwa English mwanzo mwisho lakini hata haripotiwi na gazeti la Malawi![]()
Yani hata habari zisizokua na kichwa wala mkia mnazidandia..We're feeding this whole region





Magufuli speaks Swahili only but catching up the whole world attention, kuna Rais anabwatuka kwa English mwanzo mwisho lakini hata haripotiwi na gazeti la Malawi![]()
We umeona hapo iko empty, LDC mind at workLack of infrastructure stalls Naivasha dry port
Not a single cargo train at Naivasha
still empty? si mjenge tents for the moment iwe shelter for floods victims ama covid19 quarantine ! 😂 😂 😂 😂 ☝
Nina furaha sana kuona vile uko na hasira.![]()
![]()
Endelea hivyo wala usichoke


LOL usimfananishe Magufuli na takatakaJoho ali trend hata zaidi ya jiwe hapa afrika ma hicho hicho kiswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli ndio famous president from Africa huwa naona hata habari za kawaida tu zikiripotiwa na mataifa ya mbali kama Ghana, Cameron, etYaani akiongea Magufuli Watu wanatamani wasikie ameongea nini, Wanatafuta translates kwa kila namna, sasa Uhuru na Ruto kutwa Kubwabwaja Kingereza kibovu, no one cares
Sent using Jamii Forums mobile app
No evidence no right to say!

, mzee anachemsha kila uchao., mbio za sakafuni huishia ukingoni., the face of Tanzania as at now., afadhali Nyerere mara mia., hawa wana ccm wa sasa wali derail kitambo, muimbaji Faustin Munishi kawaimba., kwa kweli mumeoza mbaya, hamukombolewi hivi karibuni, haswa masikini walio wengi na fikra finyu kama wewe, with blind patriotism syndrome



Magufuli ndio famous president from Africa huwa naona hata habari za kawaida tu zikiripotiwa na mataifa ya mbali kama Ghana, Cameron, et
Akiongea na watanzania ukanda huu wote wanamsikiliza

, mzee anachemsha kila uchao., mbio za sakafuni huishia ukingoni., the face of Tanzania as at now., afadhali Nyerere mara mia., hawa wana ccm wa sasa wali derail kitambo, muimbaji Faustin Munishi kawaimba., kwa kweli mumeoza mbaya, hamukombolewi hivi karibuni, haswa masikini walio wengi na fikra finyu kama wewe, with blind patriotism syndrome



Magufuli ndio famous president from Africa huwa naona hata habari za kawaida tu zikiripotiwa na mataifa ya mbali kama Ghana, Cameron, et
Akiongea na watanzania ukanda huu wote wanamsikiliza
Unaona Gere...na kumcheka deadly, mzee anachemsha kila uchao., mbio za sakafuni huishia ukingoni., the face of Tanzania as at now., afadhali Nyerere mara mia., hawa wana ccm wa sasa wali derail kitambo, muimbaji Faustin Munishi kawaimba., kwa kweli mumeoza mbaya, hamukombolewi hivi karibuni, haswa masikini walio wengi na fikra finyu kama wewe, with blind patriotism syndrome
Sent using Jamii Forums mobile app
uchumi umekufa sasa hvi anahangaika 😂😂Muda mbaya sana huu ku-raise bonds! Imekaa jirani yupo desperate!
narudia tena atokee mkenya yoyote alete club kama hii kenya nzima😂😂👇👇Hamna chochote hapa. Hii ni kazi rahisi, Google to Luxury clubs in Kenya
Eg B Club
Umewahi ona Tronebike!?
View attachment 1442720
Wapi?narudia tena atokee mkenya yoyote alete club kama hii kenya nzima😂😂👇👇View attachment 1442927View attachment 1442928View attachment 1442929View attachment 1442930View attachment 1442931View attachment 1442932View attachment 1442933View attachment 1442934View attachment 1442935View attachment 1442936View attachment 1442937