Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Buda usitumie theory zako kwenye covid-19.

Unachotakiwa kujua kwanza kuna vipimo vya aina mbili kwenye kupia coronavirus;

1. Ni kwa mtu aliyehisiwa ambapo wanampima kwenye koo na kwenye pua na haijalishi kwenye koo kuna enzymes, maji, limao, papai au makohozi, pia kwenye pua haijalishi kuna makamasi, vumbi, maji au nini isipokua wanapima hiyo sample kwa kuifanyia PCR test huku wakiwa pembeni wameandaa sample ye covid pekee na kulinganisha RNA sequence ambapo ikivuka 50 ndio unakua na uwezekano wa kuwa nayo huku wakisubiri kipimo cha pili baada ya symptoms kukuanza
2. Kipimo cha pili hiki ndio kinakua specific kwa binaadamu ambapo wanapima damu yako presence ya antibodies ambazo mwili wako umeproduce kupambana na virus, zikikutwa hizi antibodies inakua ni ushahidi kuwa kuna virus

So sio wote unaoambiwa wanacovid-19 kuwa ni kweli 100% no. kipimo cha kwanza mara nyingi ukiambiwa una covid-19 jua ni 66.67% na cha pili ni 38.3%. Na kama umefanikiwa kupimwa vyote utakua na 98.6%.

Sasa basi, hiki kipimo cha kwanza ndio ambacho wengi wanapimiwa kabla hawajaonesha dalili mfano ni Mkuu wa Mkoa wa Moshi ambapo hizi test kits nchi nyingi zimeripoti kuwa zina faulty results na kuvirudisha kwa wachina

So kabla hujamjaji mtu hakikisha unajua kiundani kuhusu hizi test kits. Mimi pamoja una ufahamu huu bado simjaji mtu yeyote

 
Duh kumbe mathare kuna florida??!!!!!!😂😂😀😀
 
QUOTE="babayao255, post: 35215382, member: 545870"]
Corona imetufumania kivipi?
Uduni ni nini?
Kiswahili inanitesa kaka😂😂😂😂siku njema
[/QUOTE]
Yaa hata mi nimeona...ni bora ukajifunza utofauti kutofautisha maneno kati ya msaada,mchango na rambirambi
 
Donation ni nini?., nyie mumewai tuma?., sasa tumekua na landslide, hakuna taarifa kutoka Tz., ajali ya moto ya lorri ya mafuta Tz Uhuru alituma rambi rambi., si lazima murudishe ile nawaonyesha mulivyo wabinafsi.,
The writer also can't differentiate the word condolence from donation...that is the problem of kenyans
 
A form 4 Kenyan student who loved chemistry practicals should know this. Hii PHD ya bongo inashtua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…