Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mm nimekuonesha misitu au πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mimi nina nyumba ambayo itakuchukua miaka300 wewe kumiliki mbuzi wewe
Dream house πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hiyo hata nipewe bure siwezi.
 
Haitaki ubishi wala makasiriko.
 
tufanye mkataba hamna, na hio kampuni iko chini ya wakenya sio wachina! yan corona iwatese na wachina wawatese tena kweli? hapana, kichwa kitakuuma [emoji23]
Bwahahaa!!huwezi kuja na habari kutoka kwa media bila ya official source...
Kwhyo jipangeni tena upya[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[QUOTE"ichoboy01, post: 35206687, member: 420069"]
simple and clearπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 1437826View attachment 1437827View attachment 1437828
[/QUOTE]
Mombasa 2020., hamja achania mbali, mko sako kwa bako., view ya Mombasa from the ocean when aproaching Mama Ngina towards port, shida picha ya drone pale hairuhusiwi., state house Mombasa iko area hizo., skyline almost same, am yet to see it anyewhere kwa mtandao...
 
taja hapo ni sehemu gani dar πŸ˜‚πŸ˜‚ unafkiri kuna mabanda ya nguruwe huku yani mzungu asione mabanda uone wewe 😁😁😁 utasubiri miaka 300
Mzungu kwenyu akuje kufanya nini?., ni Serengeti na kuondoka, nchi ya kukandamiza free speech, na divergent views nani mwenye akili timamu anaweza kuitamani?., ni wezi wa rasilmali zenyu kama dhahabu na vinginevyo ndio wanazurura Tz, warabu na wahindi wamewakalia kitako, nyie mnaishi mitaa yenye small coridors ndio njia ya kupitia, unplanned low quality settlements in large quantities over 80%., weka aerial view Dar yote, utaona developed area ni ndogo sana ukilinganisha na ushamba mliojaza mjini.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…