Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

And mind you Masaki is their best neighbourhood. Kwenyewe ni apartments kushoto kulia, something that you cannot find in Runda, Karen or Muthaiga .

What I have realized with Tanzanians is that an average person cannot afford to live in an apartment and they also lack serious investors to develop such buildings. That's why you see that the few apartments they have ziko katika Mitaa za kifahari kama Masaki where the monied can afford to rent them. Wengine wote, including these ones making noise here have to do with those midreamhouses coz that's what they can afford
May be unajaribu ku compare life ya huko na huku kitu ambacho unashangaza, my friend watu wa wengi wao wanamiliki ardhi yao wenyewe hawana haja ya ku rent, yn life style ya huku ni tofauti sana na huko, nyie huko hamuna uwezo wa kumiliki ardhi na ndiyo maana.
 
Aaa weee!!watu wengi wapi na wakati vyumba vya kupanga dar vitele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And mind you Masaki is their best neighbourhood. Kwenyewe ni apartments kushoto kulia, something that you cannot find in Runda, Karen or Muthaiga .

What I have realized with Tanzanians is that an average person cannot afford to live in an apartment and they also lack serious investors to develop such buildings. That's why you see that the few apartments they have ziko katika Mitaa za kifahari kama Masaki where the monied can afford to rent them. Wengine wote, including these ones making noise here have to do with those midreamhouses coz that's what they can afford
Acha×..mtanzania akiandika vitu utadhani dar kila mtu ana nyumba, lkn ukwel kabisa dar nyumba za kupanga tele tena za kumwaya nakwambia..

Eti kila mtu anamiliki ardhi wakati mpka wasanii wao wengine wakubwa wamepanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa naona umeleta mpka picha za kwa ma godown hko

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi godown au co
tapatalk_1588273084726.jpeg
 
May be unajaribu ku compare life ya huko na huku kitu ambacho unashangaza, my friend watu wa wengi wao wanamiliki ardhi yao wenyewe hawana haja ya ku rent, yn life style ya huku ni tofauti sana na huko, nyie huko hamuna uwezo wa kumiliki ardhi na ndiyo maana.
That's how you lick your wounds here everyday. Don't fool us that all six million residents of Dar own houses. Danganganya wadanganyika wenzako. Wengi wenu including you are renting those squalors called dream houses
 
Back
Top Bottom