Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vilaza ni hawa hapa sifa nyingi bado wanapewa msaada wa chakula, na muombe hili janga liishe la cvyo mtaumbuka sn, na hv mnavyotukela cjui mtapata wapi chakula cha huruma, maana cc ndio huwa tunawaonea huruma tunawauzia bei rahisi, but after this disaster mctegemee kuwa tutawapa chakula mijitu yny wivu na roho mby km nyie, mtaendelea kuomba mpk mtaolewa
Kenyan arid??? Wonders shall never end. Mnatafuta excuse za kizembe kweli

kitochi
 
Houses are completely different from skyscrapers
Is that how you comfort yourself? So there's nothing wrong with posting tall buildings ten times a day but there's a problem with reposting houses!
 
Aisee huu ni uuwaji! Imagine unaumwa unajipa moyo Isiolo Teaching n referral hospital ina facility unapelekwa huko badala ya a more deserving hospital only kuishia kufa as no ventilators available!
Nani amekufa Isiolo kutokana na corona? Hivyo ndivyo unavyojipa matumaini?
 
Media houses za kwenu kama zinafinywa sehemu nyeti na sisiemu wasitoe habari kwa wananchi our media houses will do it for you. The chickens will come home to roost soon 😂 😂 😂
kwann museme uongo lini tanzania ikawa na time na kenya 😂😂😂 tatizo lenu nyinyi munawivu na tanzania na this time kuna chuma kipo
 
kwann museme uongo lini tanzania ikawa na time na kenya 😂😂😂 tatizo lenu nyinyi munawivu na tanzania na this time kuna chuma kipo
Tanzania nchi ya viwonder ni kitu ya kuonea wivu??? 😂 😂 tangu lini?
 
Tanzania nchi ya viwonder ni kitu ya kuonea wivu??? 😂 😂 tangu lini?
tanzania inawanyima usingizi😂😂😂 sikieni vijana wamombasa wanamuomba magufuli aje kuwasaidia 👇👇👇👇👇👇

 
itaichukua kenya miaka 300 kufika hapo😂😂😂😂
Waanze kufikiria route za Mombasa from Dar via Zanzibar! Nina uhakika wale wa SGR Nairobi-Mombasa wataunganisha kwenda Zanzibar na fast ferries!

Pata picha unatoka Nairobi mpaka Mombasa SGR then unafika Mombasa unachukua Zanzibar fast ferry au Azam marine fast ferry unafika Zanzibar unakula good time then unachukua Zanzibar fast ferry au Azam marine fast ferry tena mpaka Dar unakula good nightlife time.

Then unachukua electrical SGR all the way to Mwanza with a stop at Dodoma. then from Mwanza unakula another good lake time. Then unachukua New Victoria/MV Mwanza (the only cruiseships in Lake Victoria) mpaka Kisumu then unachukua diesel SGR mpaka Nairobi again.

Pia driving can be possible, imagine unatoka Nairobi unaendesha mpaka Mombasa unachukua Sea star 1 au Sealink 1/2 then mpaka Zanzibar.

Unatoka unaendesha around Zanzibar halafu huyo again ndani Sea star 1 au Sealink 1/2 mpaka Dar unaendesha 14 hrs mpaka Mwanza unapita Dar-Kibaha highway Dodoma ring road unaingia ndani ya Mwanza.

Mwanza una-cross Kigongo-Busisi bridge halafu unachukua MV Mwanza (U/C) tokea Musoma mpaka Kisumu than unaendesha tena!

The future will be beautiful and the experience one gets, will openly tell nani kachezwa! I am confident that will be possible coming 2025! Tourism stakeholders shoud consider this tourism circuit! Nina uhakika jirani atatia ngumu.





 
Loresho
PhotoGrid_1588325690046.jpg
PhotoGrid_1588325867090.jpg
PhotoGrid_1588326352026.jpg
PhotoGrid_1588326274471.jpg
PhotoGrid_1588326176602.jpg
PhotoGrid_1588326042930.jpg
PhotoGrid_1588325976117.jpg
PhotoGrid_1588325909661.jpg
PhotoGrid_1588325604323.jpg
PhotoGrid_1588325796938.jpg
PhotoGrid_1588325631913.jpg
PhotoGrid_1588325631913.jpg
PhotoGrid_1588325746864.jpg
PhotoGrid_1588326113574.jpg
 
Back
Top Bottom