Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Watakuletea za sgr ya kenya, usikute hata huko kwenye sgr wachina ndio wanaajiri wakenyaWaambie Tu wakuletee picha ya cabin crew ya ndege za china tuone wakenya wakiwemo ili tuamini kuwa undugu baina ya hzo nchi mbili ni wa damu, la cvyo tuamini tu Wakenya wataolewa kwa shobo.



