ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
copy from who??? 😂😂😂 so nyinyi mulicopya kwa ethiopia ni sawa
copy from who??? 😂😂😂 so nyinyi mulicopya kwa ethiopia ni sawa
yani hawa watu hujifanya wanaakili wakati wana uchafu kichwani 😂😂😂😂nanyie si mli-copy kwa ET sio!
BTW sisi tulli-copy kwa Ethiopia airlines baada ya kuwapa tender na si kutoka kwa Kunyaland's KQ! No shame to copy from those who know! 👇yani hawa watu hujifanya wanaakili wakati wana uchafu kichwani 😂😂😂😂
Yani mnafurahia kutengeza app ya game sai[emoji1787][emoji1787]Heheheheheeee ngj nikamate mtu nyie mmeanza lini[emoji3][emoji3][emoji3]
We anika sura za watu wa mijengo tu, wengi vijiji wanajulikana km ma MDMen at Work [emoji3512][emoji1241][emoji3481][emoji537][emoji106]
View attachment 1433628View attachment 1433629View attachment 1433630
[emoji3][emoji3][emoji3] hv hujiulizi hyo ets2 hakuna map ya Africa, hata SA hawana hyo map, btw nadhan hujui chochote kuhusu ets2 ni bora nikuache, hehehehee unazani kirikuu iyo [emoji3][emoji3][emoji3]
Ku copy kwa maendeleo co mby kuliko nyie mnacopy ugoro [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
LOL kwa taarifa yako kwa Tanzania katika kada zinazolipwa mshahara mzuri, mafundi ujenzi wapo, Usifananishe mafundi wa Tanzania na KenyaWe anika sura za watu wa mijengo tu, wengi vijiji wanajulikana km ma MD
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu gaming apps sio kitu kigeni ata Kenya zipo za Matatu.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1433904View attachment 1433905View attachment 1433906View attachment 1433907
[emoji23][emoji23][emoji117][emoji205]Yani nakwambia jamii forums huaga sometime naitumia km place ya kuchekea na kuondoa mawazo kichwani..sana sana nikukwaruzana na mamaz wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini wanawake wa Kenya ampendi kujulikana wanawake humu jf
Wewe ulikuwa unajifanya mwanaume kumbe ni kunguru au ni mwanaume ila huu mwaka kama nilivyo sema Kenya itasota vibaya kimaisha ,sasa mambo yamekuwa magumu umeamua kuwa SHOGA !! NILIWAAMBIA HUU MWAKA UTAKUWA MBAYA SANA KWA KENYA
Hehehe thats an international airline bana sii hii yenyu local hapo, tou have to get cabin crew from different countries to cater for non english speakers i.e. asians, ama hujui why emirates, Qatar employ cabin crew all over the world?Ku copy kwa maendeleo co mby kuliko nyie mnacopy ugoro [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1433887
Leta yenye waliconvert their passenger plane to cargo, ET wakona enough cargo planesnanyie si mli-copy kwa ET sio!