Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,682
- 107,111
Introducing Mahenge new germstine
Cargo planes
Is that an ets2 game? Btw hzo basi mnazoita ma3 hata india zipo na ndiyo maana hata kwny hako ka game hakuna mazingira yoyote kuonesha kwmb hyo ni kenya, iyo ni game wanatengeneza watu wa ICT second year uku kwetu, leta map ya ets2 ya kenya km kweli ww ni kidume, maamaaeee [emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu gaming apps sio kitu kigeni ata Kenya zipo za Matatu. View attachment 1434139View attachment 1434140View attachment 1434141
Na ndiyo maana faida yote wanachukua wao na bdo mnajisifu, poor Kunyans[emoji3][emoji3][emoji3]Hehehe thats an international airline bana sii hii yenyu local hapo, tou have to get cabin crew from different countries to cater for non english speakers i.e. asians, ama hujui why emirates, Qatar employ cabin crew all over the world?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwakani kwani bado tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ulikuwa unajifanya mwanaume kumbe ni kunguru au ni mwanaume ila huu mwaka kama nilivyo sema Kenya itasota vibaya kimaisha ,sasa mambo yamekuwa magumu umeamua kuwa SHOGA !! NILIWAAMBIA HUU MWAKA UTAKUWA MBAYA SANA KWA KENYA
Send by APOLO 1
Bado tu mwakani kwani[emoji1787][emoji1787]Kwanini wanawake wa Kenya ampendi kujulikana wanawake humu jf
Send by APOLO 1
Naona umekuja pazuri kweli, uliza watu wa mipakani ndipo utapata jibu..LOL kwa taarifa yako kwa Tanzania katika kada zinazolipwa mshahara mzuri, mafundi ujenzi wapo, Usifananishe mafundi wa Tanzania na Kenya
Mafundi wenu wakija huku wanakua vibarua wa kutumwa materials huko sites
Kila kitu kwao huona wameanza waoMkuu gaming apps sio kitu kigeni ata Kenya zipo za Matatu. View attachment 1434139View attachment 1434140View attachment 1434141
Impact huioni au unajiliwaza
Yani mnajisifia app ya game mwaka huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3] hv hujiulizi hyo ets2 hakuna map ya Africa, hata SA hawana hyo map, btw nadhan hujui chochote kuhusu ets2 ni bora nikuache, hehehehee unazani kirikuu iyo [emoji3][emoji3][emoji3]
Lazima ajue kutofautisha ets2 game na hicho alicho leta hapo 😂😂😂Is that an ets2 game? Btw hzo basi mnazoita ma3 hata india zipo na ndiyo maana hata kwny hako ka game hakuna mazingira yoyote kuonesha kwmb hyo ni kenya, iyo ni game wanatengeneza watu wa ICT second year uku kwetu, leta map ya ets2 ya kenya km kweli ww ni kidume, maamaaeee [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3] analeta kirikuu humu game inayotengenezwa na ICT second year student, nimecheka snLazima ajue kutofautisha ets2 game na hicho alicho leta hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hujui unachozungumza, kwnz anza kufuatilia nn maana ya ets2 [emoji3][emoji3]Yani mnajisifia app ya game mwaka huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kawaida yao kupenda kurukia vitu wasivyo vifahamu 😂😂😂Hujui unachozungumza, kwnz anza kufuatilia nn maana ya ets2 [emoji3][emoji3]
Komora bhn eti bila kuogopa anasema wao wametengeneza hyo game mda mrefu, wkt hata SA wnyw bado, inshort map ya Afrika ya ets2 bado na km WaTz watafanikiwa nadhani inakwenda kuwa ya kwanza kwa Afrika.Ni kawaida yao kupenda kurukia vitu wasivyo vifahamu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli tunahitaji cargo planes japo mbili, hasa kwa kipindi hiki cha Tz ya viwanda.WAZIRI HASUNGA-UZALISHAJI WA KAHAWA WAONGEZEKA WAFIKIA TANI 214,962
WAZIRI HASUNGA-UZALISHAJI WA KAHAWA WAONGEZEKA WAFIKIA TANI 214,962
Heheheheheeee mwasititi yuko wapi mwaswast[emoji121][emoji121]WAZIRI HASUNGA ABAINISHA TAARIFA YA UZALISHAJI WA KOROSHO, SERIKALI YAINGIZA ZAIDI YA TRILIONI 3.3
WAZIRI HASUNGA ABAINISHA TAARIFA YA UZALISHAJI WA KOROSHO, SERIKALI YAINGIZA ZAIDI YA TRILIONI 3.3
Yaani SGR inaweza kujengwa na zao LA korosho pekee.Heheheheheeee mwasititi yuko wapi mwaswast[emoji121][emoji121]