babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
Naona hajarudi tena 😂😂😂Uyo jamaa alipigwa sn akakosa hamu kabisa![]()
Naona hajarudi tena 😂😂😂Uyo jamaa alipigwa sn akakosa hamu kabisa![]()
Leta yenye waliconvert their passenger plane to cargo, ET wakona enough cargo planes
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo boya huenda hata haijui etsIs that an ets2 game? Btw hzo basi mnazoita ma3 hata india zipo na ndiyo maana hata kwny hako ka game hakuna mazingira yoyote kuonesha kwmb hyo ni kenya, iyo ni game wanatengeneza watu wa ICT second year uku kwetu, leta map ya ets2 ya kenya km kweli ww ni kidume, maamaaeee![]()
Hautuigagi wajinga KQ sie!
Jf vitasa,
Twitter vitasa,
Yaani ni mwendo wa vitasa
Ni vitasa tuHawa jamaa wa Udaku wa Siasa wananipendeza kweli ni party after party yaani vitasa after vitasa! short n clear!

Labda waliofeli hku haoLOL mambo ya ujenzi mbali sana
Mamia ya wakenya wanapigania kuingia Tanzania kuwa mabarmaids na walimu wa chekechea![]()



Buda hizo ni shobo, kwanini fly emirates, etihad au qatar wasiajiri cabin crews wakikenya kwa safari hata walau za kutokea kwenye hub zao to jkia?Hehehe thats an international airline bana sii hii yenyu local hapo, tou have to get cabin crew from different countries to cater for non english speakers i.e. asians, ama hujui why emirates, Qatar employ cabin crew all over the world?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwn hyo sio app ya gameHujui unachozungumza, kwnz anza kufuatilia nn maana ya ets2![]()


Game ni game broKomora bhn eti bila kuogopa anasema wao wametengeneza hyo game mda mrefu, wkt hata SA wnyw bado, inshort map ya Afrika ya ets2 bado na km WaTz watafanikiwa nadhani inakwenda kuwa ya kwanza kwa Afrika.



Wahakikishe tu packing materials zinawekwa chapa ya Tz, mana icje ikawa tunafanya kazi ya kanisa.
So, snake xenzia ni sawa na ets2, ww una usingizi co bure kalale tena



Waambie Tu wakuletee picha ya cabin crew ya ndege za china tuone wakenya wakiwemo ili tuamini kuwa undugu baina ya hzo nchi mbili ni wa damu, la cvyo tuamini tu Wakenya wataolewa kwa shobo.Buda hizo ni shobo, kwanini fly emirates, etihad au qatar wasiajiri cabin crews wakikenya kwa safari hata walau za kutokea kwenye hub zao to jkia?
Wako wengi sana mpaka pilotsBuda hizo ni shobo, kwanini fly emirates, etihad au qatar wasiajiri cabin crews wakikenya kwa safari hata walau za kutokea kwenye hub zao to jkia?
sasa Emirates yenye watu 1.4 mln (Emirati) na airline kubwa duniani unawezaje fananisha na Kunyaland yenye watu 50 mln na ka-airline kanajaribu ku-survive!
Shidako ni ushamba. What you have there is a mod version of the game. Hivi vitu ata mtoto wa chekechea anafanya tu. Lipi la ajabu hapo? Euro Track Simulator ata ukipenda uonyeshe ukiwa Buza na Uwanja wa Fisi mbona rahisi tu?Is that an ets2 game? Btw hzo basi mnazoita ma3 hata india zipo na ndiyo maana hata kwny hako ka game hakuna mazingira yoyote kuonesha kwmb hyo ni kenya, iyo ni game wanatengeneza watu wa ICT second year uku kwetu, leta map ya ets2 ya kenya km kweli ww ni kidume, maamaaeee![]()