Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kesho ni bajeti ya wizara ya afya, updates zote za corona zitatolewa kesho! ila bado nina wasiwasi hali si nzuri
So mnangoja siku ya bajeti ndio wananchi waambiwe ukweli kuhusu yale yanayoendelea ndani ya nchi yenu? Mbona vyombo vyenu vya habari hayazungumzii kiuwazi?
 
Hehehe thats an international airline bana sii hii yenyu local hapo, tou have to get cabin crew from different countries to cater for non english speakers i.e. asians, ama hujui why emirates, Qatar employ cabin crew all over the world?

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na Midanganyika, they can't think beyond their noses
 
So mnangoja siku ya bajeti ndio wananchi waambiwe ukweli kuhusu yale yanayoendelea ndani ya nchi yenu? Mbona vyombo vyenu vya habari hayazungumzii kiuwazi?
Sikiza ww jamaa, usipotoshwe na habari za uongo mitandaoni dhidi ya ugonjwa wa corona Tz, ukweli ni kwamba huo ugonjwa upo lkn c kwa kiwango hcho unavyodhani, waliopata ni mmoja mmoja sn kwny mitaa, yn hao waliopo huko mahospitalini na quarantine wakisema warudi makwao utagundua kwamba kuna mitaa itakuwa haijaguswa kabisa na covid-19 amini hvyo, yn Kenya mmeathirika sn na huo ugonjwa kuliko Tz, yn km ilivyo kwa locust invasion, hujiulizi mbn Tz hatujaathirika na locust wakati kwenu wamejibadili mpk rangi wanaanza kutumia rangi ya bendera ya kenya (mjinga atakuja na kusema usifananishe locust na covid-19 mm namjibu kwmb janga ni janga tu)
Screenshot_2020-02-11-11-43-02.jpeg
 
Sikiza ww jamaa, usipotoshwe na habari za uongo mitandaoni dhidi ya ugonjwa wa corona Tz, ukweli ni kwamba huo ugonjwa upo lkn c kwa kiwango hcho unavyodhani, waliopata ni mmoja mmoja sn kwny mitaa, yn hao waliopo huko mahospitalini na quarantine wakisema warudi makwao utagundua kwamba kuna mitaa itakuwa haijaguswa kabisa na covid-19 amini hvyo, yn Kenya mmeathirika sn na huo ugonjwa kuliko Tz, yn km ilivyo kwa locust invasion, hujiulizi mbn Tz hatujaathirika na locust wakati kwenu wamejibadili mpk rangi wanaanza kutumia rangi ya bendera ya kenya (mjinga atakuja na kusema usifananishe locust na covid-19 mm namjibu kwmb janga ni janga tu)View attachment 1434318
Naona wanaharakati wengine wanatumia picha za ebola halafu wanasema ni za Tz 😂😂😂
 
Sikiza ww jamaa, usipotoshwe na habari za uongo mitandaoni dhidi ya ugonjwa wa corona Tz, ukweli ni kwamba huo ugonjwa upo lkn c kwa kiwango hcho unavyodhani, waliopata ni mmoja mmoja sn kwny mitaa, yn hao waliopo huko mahospitalini na quarantine wakisema warudi makwao utagundua kwamba kuna mitaa itakuwa haijaguswa kabisa na covid-19 amini hvyo, yn Kenya mmeathirika sn na huo ugonjwa kuliko Tz, yn km ilivyo kwa locust invasion, hujiulizi mbn Tz hatujaathirika na locust wakati kwenu wamejibadili mpk rangi wanaanza kutumia rangi ya bendera ya kenya (mjinga atakuja na kusema usifananishe locust na covid-19 mm namjibu kwmb janga ni janga tu)View attachment 1434318
Wewe chuki zako tumezizoea. Sio mimi nilipost hiyo video bali ni mtanzania mwenzako so elekeza hasira zako kwake, si kwangu. Zitakuwaje ni habari za uongo wakati tunaona vizuri sana kuna mtu amekufa and he's being handled the way Covid-19 victims are handled? Kuna hadi wanaozikwa usiku wa manane ili tu msijue kinachoendelea ndani ya nchi yenu. For how long will you people live in denial?

Alafu Kenya imeathirika sana kivipi? Kenya has 374 cases, Tanzania has 300 cases with more active cases than Kenya na watu wameanza kufa hadi majumbani. So nani ameathirika zaidi? Tumia akili, don't let emotions run your mind
 
Tulia dawa iingie, laana nyingine hii hapa

https://www.operanewsapp.com/tz/sw/...77b2962-9e63-4ff3-b194-7403a18e6381&from=news
Screenshot_2020-04-29-12-48-55.jpeg
 
Naona umekuja pazuri kweli, uliza watu wa mipakani ndipo utapata jibu..
Au peleka hii mada section ya tanzania uone vile utakula za uso..

Eti mafundi tanzania wanakula hela nzuri kuliko kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
LOL mambo ya ujenzi mbali sana

Mamia ya wakenya wanapigania kuingia Tanzania kuwa mabarmaids na walimu wa chekechea 😅😅😅😅😅
 
It seems Kenyatta serikali yake ina dhambi kubwa sana mana majanga hayaishi, huku locust, kule corona mara mafuriko ya ajabu, ukigeuka huku rushwa mpaka makanisani na misikitini dah poleni sn.
 
Back
Top Bottom