ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
hahaha obama hawezi kua mkenya na hana habari ya kua mkenya mpaka dunia inasimama😂😂😂😂😂Wajinga wana-force obama kuwa mkenya...obama is american,everyone knows
hahaha obama hawezi kua mkenya na hana habari ya kua mkenya mpaka dunia inasimama😂😂😂😂😂Wajinga wana-force obama kuwa mkenya...obama is american,everyone knows
Wakitoa nitaanza na route ya Dar - IringaWapo kwenye maboresho zen watai release, this is Tz, tutegemee kitonga, sekenke, posta,mbeya km kawa![]()
Zipo njia nyingi but mimi nliinstall steam: Steam, The Ultimate Online Game Platformnataka kuweka kwenye macbook yangu ntaipata wapi
Hawakulazimishwa kuishi mjini, cz hata hyo ardhi si yao..Worst life in Nairobis slums
Kumbe ndio mumeanza saiKwa cc wapenzi wa games, tunasubiri kwa hamu huu utaalamu wa WaTz, heheheheheeee Tz bhn noma sana, only in TzView attachment 1433138
ww ume install kwenye window auZipo njia nyingi but mimi nliinstall steam: Steam, The Ultimate Online Game Platform
Then ukifungua steam utasearch game zote za kijanja na utachagua kama utaplay online or offline
Sure mkuu tamu sn, ila najua lengo ni Kitonga na zile kona kona za RuahaWakitoa nitaanza na route ya Dar - Iringa


Heheheheheeee ngj nikamate mtu nyie mmeanza lini



Linux ila ukivisit hiyo link utaona steam pia ipo available kwenye macww ume install kwenye window au
Sure, pia wakiweka na wanyama kukatizakatiza mikumi itakua among the best modsSure mkuu tamu sn, ila najua lengo ni Kitonga na zile kona kona za Ruaha![]()
nanyie si mli-copy kwa ET sio!