ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
kwamba forbes haiwajui wakenya inawajua wengine wote 😂😂😂👏👏👏👏 kapumzike budaa leo umenipa burudani sana
kwamba forbes haiwajui wakenya inawajua wengine wote 😂😂😂👏👏👏👏 kapumzike budaa leo umenipa burudani sana
Hata kw putin pia anagalia forbesdunia nzima inaiangalia forbes so leo hii unaniambia huijui forbes bro![]()


Mi pia nime enjoy, hii mada tamu sanakwamba forbes haiwajui wakenya inawajua wengine wotekapumzike budaa leo umenipa burudani sana



Hawaelewi mambo yanaendaje, wao hushangaa jamaa wanatanua tuso forbes haiwajui wakenyaleo nimepata kali ya mwaka
putin kafanya nn sasa ???😂😂😂
acheni uongo nyinyi mkiambiwa ukweli hua munatuka kama wajinga ila ingekua forbes imemtaja mkenya mungesujudia forbes acheni unafki kabisa😂😂😂😂😂
pumzika ila umenipa kali ya mwaka 👏😂😂Mi pia nime enjoy, hii mada tamu sana
Wacha nilale tu cz sina budi
Sent using Jamii Forums mobile app
Inadhihirisha km unawakubali hao jamaa kimya kimya...yani leo umeleta mabilionea zaidi ya mmoja kenya wakati bongo ni mmoja...
Kweli umechanganyikiwa hadi ukasahau uzalendo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie una maanisha in terms of dollars maana itakuwa anadhani unamaanisha shillings 😂😂😂acheni uongo nyinyi mkiambiwa ukweli hua munatuka kama wajinga ila ingekua forbes imemtaja mkenya mungesujudia forbes acheni unafki kabisa😂😂😂😂😂
kazi kila kona 👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
r u sure? check again 💉💉💉💉Tanzania bado sana jomba hyo sektaView attachment 1432795View attachment 1432796View attachment 1432797View attachment 1432798View attachment 1432799
Sent using Jamii Forums mobile app
Partly.......Kama unaelewa
We mbuzi nini? We tangu mwanzo si Ndio ulikuwa unakataa hii fact? Baada ya kukuelewesha sasa hivi Ndio unajifanya mjuaji? Aki wakunga mna taabuUngejua hivyo kutoka kitambo kua chromosomes ndio zinabeba GENETIC CODE hungezua ubishi ungeelewa kwamba Obama ana genetic code za babake kwa 50%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Worst life in Nairobis slums
Itawachukua karne 2 au 3 kuziondoa hzo bandaWorst life in Nairobis slums
Badala u support kile kibanda chako umekuja kulia liar u sure? check again![]()




Dah safi sana. Nilianza na ile ya Europe nikaenda ya Nevada na California. Sasa hivi TZ ipo pia. Damn👌🏾Kwa cc wapenzi wa games, tunasubiri kwa hamu huu utaalamu wa WaTz, heheheheheeee Tz bhn noma sana, only in TzView attachment 1433138