hio ni macbook ya 2007 pale machinga zinauzwa laki mbili 😂😂😂😂 ndio hziNiligundua hichi kitu baada ya kuona hiyo rangi [emoji23][emoji23][emoji23]
Nikamute tu.
Za kutegulia mabomu [emoji23][emoji23][emoji23]hio ni macbook ya 2007 pale machinga zinauzwa laki mbili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio hziView attachment 1432343
😂😂😂😂😂 ni nzito balaa utasema umebeba mezaZa kutegulia mabomu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama una njaa hubebi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni nzito balaa utasema umebeba meza
bro ni nzito usiskie😂😂😂Kama una njaa hubebi [emoji23][emoji23][emoji23]
Noma [emoji23] [emoji23] [emoji23]bro ni nzito usiskie[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena umeelewa kweli au umekurupukaDunia inapima wealth ya mtu in USD bibie siyo hayo madafu yenu ya Kibera. Pamoja na exchange rate ya pesa yenu kuwa juu kuliko yetu lakini bado tunawachapa kwa millionaires na Billionaires. Je unajua maana yake? Tafakari Usikurupuke!
Show offunatuletea macbook ya 2007 huku zinauzwa laki mbili na wenye hzi macbook pro 2019 touch bar wasemaje[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1432333View attachment 1432334View attachment 1432336
GARMIN! !!!!!na wenye vitu kama hvi wasemaje[emoji23][emoji23][emoji116]
View attachment 1432323View attachment 1432324View attachment 1432328
ndio maana yake 😁😁😁 garmin 5x plus sapphire multisport GPS
Kwhyo mama akiwa muafrika na baba mzungu mtoto atatokea km harmorapaKwa hiyo unataka kumaanisha kuwa gametes za mwanaume Ndio zinachukua asilimia kubwa katika utengenezaji wa mtoto? Aisee wewe kenge ni mpumbavu. Kuwa proud kuwa ana “ukenya”ndani yake maana ana asili nyingine pia. Ila usiseme kuwa hana uzungu ndani yake. Mitochondria zote alizonazo mwilini mwake zinatoka upande wa mama yake ambaye ni Mzungu. Malezi yake, accent yake vyote ni vya kimarekani. Halafu, uelewe tofauti Kati ya “African American” na “Kenyan”
Sawa, najua kwamba ww ni mkenya upumbavu mmeumbiwa ngj nikukubalie, ok Obama ni mkenya kwahyo ulitaka kumaanisha nini?
so obama ni mkenya au ni muamerica??Listen to Obama's speech when he visited kenya in 2015 as you US president you will get all the answers, your ignorance is not my problem and am not here to educate you.
Sent using Jamii Forums mobile app