Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahhhahaha ona sasa ulivyo mpumbavu unaturingia ghorofa wakati wewe unaishi huko kibera au mathare au kwenye apartment aliyojenga mwanaume mwenzio.

Wakenya ni watu ovyo ovyo sana .

Wewe umeprove hilo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
wajua nishiko wewe limbukeni tupwa tupwa,na jee hata kiingereza wakijua kweli wewe? Nenda kasome economics ili uache ukurupukaji wa maneno yasiyo halisi.
Ndo maana nikasema wewe mpumbavu sana una reflect wakenya walivyo.

Eti kiingereza hahahahah poor u mkenya acha ushamba usidhani watz hawajui kiingereza.

Yawezekana muda huu unacomment kutokea kibera au mathare hahahahah
 
wewe ndio bwege kwelikweli,ndio maana dhahabu mloibiwa na wale wenye kiingereza halisi kusaini kandarasi imekuwasha kwelikweli.laleni kabisa
 
hohoho kadoda naona hujasukwa ipasavyo wewe limbukeni
jikumbushe kidogo hizo bakora hapo chini nilizowachapa siku kadhaa zilizopita.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
jikumbushe kidogo hizo bakora hapo chini nilizowachapa siku kadhaa zilizopita.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Dar is slum mji wa kutupwa hamna lolote kule slum kuishia ufukwe,
 
Dar is slum mji wa kutupwa hamna lolote kule slum kuishia ufukwe,
flash back to few days ago.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
jikumbushe kidogo hizo bakora hapo chini nilizowachapa siku kadhaa zilizopita.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Izi bakora wa Kenya wakiziona machozi yana walenga lenga lakini wanajikaza
Hawana ardhi ,ardhi yote Nairobi inamilikiwa na ma bwanyenye na wananchi wa kawaida wamebaki kuishi kibera au akijikaza zana anaishi kwenye dormitory zilizo jengwa na wanaume wachache uki Nairobi , imagine upo na mke kibera au kwenye dormitory kama student ,its real painful
 
Kweli? Mbona Line up inaonesha zaidi ya wana

Unajua Urban rate?
Hamna kaka wachezaji saba wa Simba wapo kambini na timu ya taifa, Yule Blagnon ambae Jana alikua anaonekana ana marking nzuri ya Mpira kama striker hua anatokea bench Mara nyingi hua haanzi kwenye first 11, Kuna Laudit Mavugo (Burundian Striker) yeye ndio huwa anaanza kama striker. Kama unaifuatilia Simba game ya Jana walikua wanacheza kwa uwezo wa mchezaji mmoja mmoja na wala sio uwezo wa kitimu maana karibia wote wale waliocheza ile game na Nakuru maranyingi hawapati namba first eleven.
 
Hahahaha! AFC has taken Singida home! We are the People!!
Wanjala uliniambia mliwaambia wazungu kama nchi nyingine zikikataa mtakomaa wenyewe.Usiseme nyie wenyewe maana mpo nyie na Rwanda mliokubaliana wengine tumekaa kimya.Kila siku E Africa leaders wakija dar ni mwendo wakusema msiwapanish kenya sasa hivi wameongezwa Burundi wanjala Bwana unakauli za kishujaa huku JF lakini viongoz wenu wanajuta hata kwa nn walijipendekeza kwa wazungu
 
Umemaanisha picha kama hizi?
 
Attachments

  • 200561639-001.jpg
    45 KB · Views: 160
Hahahaha! AFC has taken Singida home! We are the People!!
Wanjala singida ndiyo imepanda daraja haijacheza hata mechi moja ya ligi kuuu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unajisifia kwa mambo madogo mnooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…