Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeah self employed, si lazima uende ofisi
NA Algeria wako na unemployment ya 49%. Na hii unemployment bado kuna larger middle class in Kenya, how?
😀😀😀😀 wewe unapingana na ukweli ndio tatizo lako lakini ukweli uko pale pale...
.kenya 40% unemployment 45 million population....nigeria 49% unemployment 188 million population......use mathematics....
 
By that logic, Sudan, Nigeria etc are better than Spain? Unemployed does nott mean poor
unemp.PNG
 
Everyone knows the business culture in Tanzania is not as vibrant as in Kenya
 
Mumeshinda kwa mbinde sana kwa penalty

Hivyo ndivyo Miss TZ wenu alisema baada ya kuchukua numbari 100 huku Miss Kenya akija Numbari 6 duniani! Bongo is full of excuses in everything!! Ngojea tu!!

Halfu hiyo stadium haina watu?? Vipi watanzania hawana pesa za kwenda kuona mechi?? Hatari hii
 
Angalia mechi ya sasa hvi watu wamejaa coz singida timu changa haina sana washabiki
 
Back
Top Bottom