Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongo
16507925_10154135883291712_3952829577215854096_n.jpg
 
NAJUA airport yenu ni ya tupwa tupwa hamna vya kwenu hapa...na je huko dar kuna multinational corporations HQ there?
unajua wewe au google ndio imekueleza ongea ueleweke sasa😀😀😀😀😀 usiwe muoga
 
😀😀😀😀😀😀 utaumia kichwa bure
Mna mengi ya kufanya ndio muweze kuufikia ulingo wa Nairobi....haya nenda kaufagie mji then uanze kupiga vipicha izo tower mbili...Meanwhile we are bolting supertalls in Upper hill.Tunafunga vyuma kwelikweli hapa...
 
nairaland kwenye ukabila munatukanana wenyewe kwa wenyewe itakuaje sisi....akili kichwani mwako😀😀😀😀😀
na ukikua utaacha
Nairaland ni ya waNigeria. na wao wenyewe ndio walioanzisha nyuzi za Nairobi na Kenya. Hakuna ukabila ikiwa unawakilisha sehemu utokako hata kama ni darisslum
 
Wakenya wanapenda sana kujisifu mbele za watu. Ukitaka kugombana na mkenya mwambie unakuja nyumbani uone moto wake. Choo cha kulipia utadhani uko stendi unasafiri. Wangepambana kwanza na alshabaab na kipundupindu ningewaona wa maana.
 
Back
Top Bottom