U can see from kunyaland,but if u wanna climb it u got cross the borderEndelea kuota. Kilimanjaro can also be seen.
View attachment 1425878
Kha!!! Mbona hata kwenye picha unauona!?Mlima wenu, muonekano ni wetu Kenya. Bibi wako lakini watoto wa jirani, mwenzako anakunyanyulia wa kwako
Uswazi na slums ni madugu,Yap uswazi is lit...!!!..but when it comes to slums, nairobi is invincible
so ww na mzungu nani anaakili???Uswazi na slums ni madugu,
Mwambie aangalie juhudi zake zote zinaweza kufutwa na matokeo ya jitihada za kukabili ugonjwa wa coronavirus!aisee magufuli hapa kura yangu anayo kazi kubwa sana hii👏👏👏
Ebu tupe maana ya slumUswazi na slums ni madugu,
#Akilizahandshake#
MY TAKE
Biashara kufa kufaana COVID-19 imempa ET biashara ya KQ ya kusafirisha fresh flori- and horticulture produce za Tanzania. Kwa wale waliodhani uchumi wa Tanzania utahadhirika, watangoja!
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy