Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A

Au labda usimame kwenye kilele cha hicho kichuguu chao ndio unaweza uona mlima Kilimanjaro! 😀 😀
kwa macho ya kawaida huwezi ona mlima Kenya labda kwa chombo maalum na hata raia wa Nairobi hawaja wahi ona mt kenya kwa maisha yao, wakiwa hapo. Acha kuvimba
 
Nilikuanamjibu mwenzako sababu aliwahikuleta map inaonyesha hivyo hivyo.lakini Dar cbd itabakikua chini ya Kilimani kwa size milele
Umeelimika eh? Leta tuone
Screenshot_2020-04-21-23-00-45.jpeg
Screenshot_2020-04-21-22-36-28.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
msaidie mwenzako kuleta official source kua nairobi ina CBD nne siku mutapata mm niwe wakwanza kufunga account jamii forum😂😂
Apana si vyema ufunge account, tunataka ubaki ili uumie kabisa,nataka kuona ukilialia hapa kwa kichapo 😂 😂💉😂🇹🇿
 
Kwani hicho kipo kwenye mlima Kenya??? Huijui Hata Geography ya nchi yenu. And you are right kuhusu uniqueness ya attractions that every country holds. Sasa kuniquote picha zangu kuonyesha “equivalent” ya attractions zetu huko Kenya ulikuwa una Maana gani?
Yah kipo kwenye mlima Kenya,inaonekana huna ufahamu
 
Apana si vyema ufunge account, tunataka ubaki ili uumie kabisa,nataka kuona ukilialia hapa kwa kichapo 😂 😂💉😂🇹🇿
siku utaleta official source nitafute mimi niwe wakwanza 😂😂😂😂 kwamba nairobi ina CBD nne uhehehrhehehehehe
 
Apana si vyema ufunge account, tunataka ubaki ili uumie kabisa,nataka kuona ukilialia hapa kwa kichapo 😂 😂💉😂🇹🇿
kwamba nairobi ina CBD nne 😂😂😂😂 sijawah kukutana na mpuuzi toka hii thread imeanzishwa kama wewe
 
Back
Top Bottom