Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,705
- 107,150
Hii kitu mkuu imewauma sn wakenya yn wamepigwa in out 😀😀😀
Baada ya kuingizwa chaka kwenye huu mkutano! Hapa walikubaliana kufunga mipaka!
MY TAKE
Ilichobaki hapa kama Mr Matindi anapita humu afanye an immediate response kuagiza ndege ya cargo hata moja kama B777X! It will be lovely ili itue pia Songwe airport Mbeya na Mwanza airport na baadae Dodoma Msalato International airport ikikamilika na si kama sasa JNIA, KIA na AAKIA tu! Maana hizi airport mbili itachukua muda sana kuwashawishi ndege za kigeni kutua na pili si sawa kujenga viwanja kwa gharama alafu biashara ya kusafirisha kuachia nchi za kigeni! Hii Ethiopia inayotawala aviation industry ina kiwanja kimoja tu international! Tushikilie bango pia uwekezaji kwenye cargo planes!