Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi sikusema lakes ziko around mt Kenya,namanisha kule juu ya mlima,then about river galana,the source is from Athi plains in kajiado county not Kilimanjaro,, alright??

One of its 2 tributaries (Tsavo River) comes from Mt Kilimanjaro even Lake Amboseli (underground stream)!
800px-Tsavo_national_park_map_en.png

How about Lake Chala?
0a31a26bf7.png

Rongai route has this
rongai-mawenzi-camp.jpg
 
Yah nimepitia mtandaoni hapa nahisi watakuwa wana import from Malaysia hizo raw materials, mana hata hizo jitihada za ku revive kilimo cha hilo zao ndo kwnz zimeanza mwaka jana, na materials zilizopo hazitoshelezi kwa ss, unajua hii nchi cjui ilikuwa inaelekea wapi yn Tanzania na Malaysia zina weather zinazofanana kuhimili uzalishaji wa zao hilo cha ajabu Malaysia ni the second world's largest producer while Tanzania is not even in the list dah.
BTW kachangia nn kuhusu ugonjwa wa Coronavirus kaamua kukaa kimya?
 
Yah nimepitia mtandaoni hapa nahisi watakuwa wana import from Malaysia hizo raw materials, mana hata hizo jitihada za ku revive kilimo cha hilo zao ndo kwnz zimeanza mwaka jana, na materials zilizopo hazitoshelezi kwa ss, unajua hii nchi cjui ilikuwa inaelekea wapi yn Tanzania na Malaysia zina weather zinazofanana kuhimili uzalishaji wa zao hilo cha ajabu Malaysia ni the second world's largest producer while Tanzania is not even in the list dah.
Na Malaysia mbegu walichukua kigoma
 
Mara nyingi Bakhressa huwa haongei anaposaidia
ukitaka kuujua utajiri au uzuri wa bakhresa kwenye kusaidia jamii jaribu kuongea na wafanyakazi wake na wa METL utaona a big difference mpka kwenye maslahi yao na mazingira bora ya ufanyaji kazi, dewji ni show off nyingi tu hakuna chochote zaidi ya kuwanyonya mno wafanyakazi wake, hakuna bidhaa yke hata moja yenye quality hata kdgo (Ana kesi kibao FCC za kuchapishia bidhaa za watu) , na nina diriki kusema hawezi kumfikia hata siku moja kwa utajiri bakhresa.
 
wacha upuuzi Bakhresa ni kampuni na ukiingia twitter site yao CSR zinakuwa posted! Kiufupi hawana PR nzuri! If u need to hear that brutal truth!

mzee bakhresa misaada yake anayoitoa ni. mingi hana shida ya kujitangazia kampuni yke ionekane imetoa misaada, bidhaa zake zinajiuza zenyewe
 
wacha upuuzi Bakhresa ni kampuni na ukiingia twitter site yao CSR zinakuwa posted! Kiufupi hawana PR nzuri! If u need to hear that brutal truth!

Punguza hasira mkuu nimesema mara nyingi na sio mara zote huwa hasemi km unabisha we bisha ila huo ndiyo ukweli huwezi kumfananisha Bakhressa na matajiri wengine hapa Tz mfano mzuri ni hili suala la covid-19, je unaamini kwamba Bakhressa hajasaidia? Au ndiyo mpk usikie akijitaja mitandaoni, bac km ni hivyo utasubiri sana mzee
 
Back
Top Bottom