Tatizo Geza kwa hii mada naona yupo upande wa Mo zaidi, hatukatai Mo ni tajiri pia ana mchango mkubwa katika jamii lkn usijaribu kumfananisha na SSB, hata kwa utajiri binafsi naamini Bakhressa yupo mbele sn ya metl, na hii inajidhihirisha wazi kuanzia products anazotengeneza, assets anazomiliki (very quality), lkn pia malipo kwa wafanyakazi wake yapo juu km utamlinganisha na Mo, ninachokiona mm ni kwamba Mo ana make sn, anatengeneza low quality products, mishahara mbuzi kwa wafanyakazi ili mradi tu atengeneze profits kubwa, hilo halipo kwa Bakhressa, hebu angalia tu ata mazingira ndani ya viwanda vyake huwezi kabisa kufananisha na Mo huo ndiyo ukweli tukubali tukatae, kuhusu kulipa kodi kubwa isiwe ndio kigezo cha kumkamua mwananchi cz itakuwa haina maana yoyote kwamba unalipa kodi kubwa lkn jamii inaumia.