Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ichoboy umemkimbiza mtu humu kaenda kutafuta evidence ili athibitishe pale ni bongo kumbe alipigwa changa la macho, wakenya wenzie wametengeneza ili kuichafua bongo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
More of Thika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116] leta nileteView attachment 1422914View attachment 1422915View attachment 1422916
Thikaaaaaaaaa
images - 2020-04-10T184639.333.jpeg
14272339860_0a0804e55d_b.jpg
images - 2020-04-10T184332.454.jpeg
images - 2020-04-10T184434.098.jpeg
images - 2020-04-18T203012.359.jpeg
 
Ichoboy umemkimbiza mtu humu kaenda kutafuta evidence ili athibitishe pale ni bongo kumbe alipigwa changa la macho, wakenya wenzie wametengeneza ili kuichafua bongo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kazi yao wakizidiwa huokota picha ovyo za google 😂😂😂😂
 
Tunaendelea na tulipowachia Jana, yani estate ni nyingi sana Nairobi hata nikianza siwezimaliza zote.Hizi ni baadhi ya estate za huku mitaani bila kujumuisha estate za maeneo ya kitajiri kama vile Runda,Muthaiga,Karen,Highridge na maeneo mengine mengi....Boston estate Kitengela
images-31.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
nairobi ina CBD ngapi?? hebu nieleze vzr na uje na official source kua nairobi ina CBD 3 ukipata mm ntakua wakwanza kufunga acc jamii forum[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hajui kama wabongo tunazijua nchi zao kuliko wao wenyewe [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom