Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,659
- 107,089
Tutawakamata tukiwa na ndege zetu! Hali ikitulia hizi ndege zitarudia u-busy wake!Ahsante Taha, tuna kwenda kuwakamata 😂
Tutawakamata tukiwa na ndege zetu! Hali ikitulia hizi ndege zitarudia u-busy wake!Ahsante Taha, tuna kwenda kuwakamata 😂
Kweli kabisa hyo video itakuwa ya mda kdg mana kuna maeneo imeonesha hapo hata reli bdo wkt kiuhalisia reli ishapitaHii video iko nyuma kwa maendeleo ya mwezi mzima. Kumbuka picha za Dar station ambazo uliziweka hapa over a week ago zilionyesha jengo karibia lote limeshawekwa vioo.
Nadhani progress repot ya April ndio itakua na picha halisi ya mradi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmekuwekea picha jana kdg tu ukapagawa hapa na wala hujawahi kuziona [emoji3][emoji3]"Dar kuna maeneo mengi sana ambayo picha zake hakuna"[emoji3][emoji3][emoji3]
Walisikika walevi wawili wakijiliwaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona unapost picha za London tena
Kuna njia ya mbadala...unaweza pita salender bridge ukatokea Morocco ukaenda unakoendaJangwani kunani?,dar mpaka moro hakupitiki
View attachment 1422507
Hii eneo inahitaji overpass, mafuliko kila wakati,??Kuna njia ya mbadala...unaweza pita salender bridge ukatokea Morocco ukaenda unakoenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa!!zile ndio zilikuwa picha za hayo maeneo sio...basi nipe na majina yake kabisa manake km ile mijengo hta burundi ipo...Nmekuwekea picha jana kdg tu ukapagawa hapa na wala hujawahi kuziona [emoji3][emoji3]
Haya yataje kw majina sasa hayo maeneo amabayo hamjawi kuyataja wal pia picha zake hakuna[emoji1787][emoji1787]Utazipata tu na Uzi utaukimbia [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mbona unapost picha za London tena
SGR Dar-Morogoro update for month March
Usihofu inawekwa, ipo kwenye plan na hela ishatengwaHii eneo inahitaji overpass, mafuliko kila wakati,??
Kutoka kweye sehemu inayoongoza kwa kuzomewa hadi kuwa (Dar Central Park, First of its Kind in Tanzania and East Africa)Hii eneo inahitaji overpass, mafuliko kila wakati,??
Hata sijui aisee kazi bado ipo nyingi nadhani wanapaswa kuongeza wafanyakazi! Nadhani kazi iliyobaki si chini ya miezi 6! sijui wamepewa vipi phase II ni kama inawa-distract na kumaliza phase I! Kuna around 40 km bado kabisa yaani ndo kwanza wameanza ku-clear site!
Na wewe uko proud kurundikwa hapa 😂 😂Cages 😂😂😂mnarundikwa kama kuku 😂😂😁
mabadiliko ya hali ya nchiJangwani kunani?,dar mpaka moro hakupitiki
View attachment 1422507
Buda nataka kuhakikisha unapata picha kamili:Hii eneo inahitaji overpass, mafuliko kila wakati,??
Low self-esteem utakuua! Hawa wazungu ni kama miungu kwako, stupid danganyikanusinambie ww unaakili zaidi ya mzungu😂😂