U think ukitembea Nairobi CBD utakuta uchafu kama huu,hapa ilikuwa wakati wakati wafanyi kazi was usafi walikuwa wamegoma for a whileSo hizi ni slums c ndyo [emoji116][emoji116]View attachment 1419374View attachment 1419375
Sisi tulianza enzi za mjerumani.Hii tlianza enzi za moi,yanngu pia nauza export
😂😂😂💉💉💉si ulisema kijiji kikubwa 😁😂😂😂😂
Hope hii si CBD nisicheke😀
Tuonyeshe uswazi hapo 😂😂au hata maana ya uswazi hujui 😂😂😂👇Wuuuuuuuuuii,oneni uswazi,mungu wangu,u mean the whole of Tz towns are just like the same,hakuna Kenye at least ni unique, poor ldc
Middle income [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3](usisingizie kibera hapo nimemix ushuzi wa mende, wa Bata, na wakwako we mwenyewe nkapata hilo bomu)[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1419281View attachment 1419282View attachment 1419283View attachment 1419284View attachment 1419285View attachment 1419286View attachment 1419287View attachment 1419288View attachment 1419289
Tatizo la wakenya miji yao mingi maendeleo hayajatawanyika unakuta mji umechangamka sehemu moja tu na hapo ndipo wanapiga picha ghorofa moja moja kuja kuaminisha watu kwmb huo mji umejengeka pathetic
hoja zinapokuingia vyema hua unajifanya mwehu. sinfio😂😂😂😂Hahaha!!naona bado unatapatapa tu, leo tutajua km unauwezo wa kutetea hoja yako
Sent using Jamii Forums mobile app
wanajazana na kuuwana kwa ajili ya kugombania chakula😂😂😂😂Lkn huwezi wakuta wakenya wakijazana uwanjani kw ajili ya mikopo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukileta tunapokea, kamwe hatuwaombi
Sent using Jamii Forums mobile app
uhehehehhe mulianza enzi za moi na bado ni maskini 😂😂😂😂😂Hii tlianza enzi za moi,yanngu pia nauza export
Acha kutuchekesha jamaa
Hahahaha hahaha, yaani taabani sana. Hivi njia za vumbi tu hata hamna lami na eti anapost. Kweli Uswahilini kuna mambo.Wuuuuuuuuuii,oneni uswazi,mungu wangu,u mean the whole of Tz towns are just like the same,hakuna Kenye at least ni unique, poor ldc
Wakenya apo wanaumiaa walizoea kuja kununuaa huku sahivi marufukuu. Nawaonea huruma sana ndugu zetuuuu
Hizi ndizo best!? Lakini kweli Watanzania 🤔