Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wabongolala tunawajua kwa domo tu...Amalia apartments syokimauView attachment 1417512View attachment 1417514

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo tundu za ndege zipo kibao huko Geza Ulole wamekosa wapangaji sasa hivi hadi wameshusha bei na bado watu hawazitaki.
Nyingine zipo Kijichi hadi Magufuli kawapa wanafunzi waishi na nyingine kawapa watumishi wa Halmashauri.
Nyingine zipo Dege hata kumalizia wanaona haina maana Wabongo hawapendi kuishi kwenye viota.
 
project nzuri, agawe moja kweny kamati ya Majaliwa kama msaada then nyingine auze .. zikae vituo vya BRT, kivukoni etc

ila, is this effective? 🤭.. yan hao wazungu wa nje wameshindwa kweli kufanya haya?
Kaka wazungu ni wazuri wa kuiba maarifa yetu, bulb zilizinduliwa na mtu mweusi, traffic lights ni mtu mweusi tena mghana, 😂😂
 
project nzuri, agawe moja kweny kamati ya Majaliwa kama msaada then nyingine auze .. zikae vituo vya BRT, kivukoni etc

ila, is this effective? 🤭.. yan hao wazungu wa nje wameshindwa kweli kufanya haya?
Design ya hii inahitaji modification tunnel is more appropriate hii haijakaa kuhudumia watu wengi kwa haraka!
 
Wanapenda kuishi kwenye mabanda?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenyewe wanapaita Misri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…