Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
anakuambia kuwa hiyo ndiyo kariakoo yao,,, yaani wanazo kariakoo nyingi. ...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Huu ni uchafu gani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aise muna safari ndefu sana alaf unapost bila aibu kabisa
kuna mijitu yakikenya si bure imepewa laana na babu zao[emoji1][emoji1][emoji3][emoji3] leo nimejikuta nikicheka peke yangu mbele ya watu mpaka wameniuliza kulikoni.. nikawaambia kuwa wakenya ni vichaaa sana
Sent using Jamii Forums mobile app