Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

History weka pembeni mimi naleta vitu real....more from ngong roadView attachment 1410878View attachment 1410879View attachment 1410880

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada kile kipigo kitakatifu hii inaitwa dungu darm kigamboni😂😂👇👇👇
FECFB9EC-898D-41C6-85A1-E74CFA1E6890.jpeg
D4CD9705-3886-4861-93BA-54E201D850C6.jpeg
 
Kama vile Dar nzima inaingia kwa Kilimani na change juu yakeView attachment 1410891View attachment 1410892

Sent using Jamii Forums mobile app
Dar=3*Nairobi in size!

Mkoa wa Dar es Salaam wenye eneo na km za mraba 1,800 ulianzishwa kutoka Mkoa wa Pwani mwaka 1973 ukiwa na Wilaya 3 za Ilala, Kinondoni na Temeke. Mamlaka za Serikali za Mitaa za Mkoa wa Dar es Salaam zilizopo sasa zilianzishwa mwaka 2000 baada ya kuvunjwa kwa Tume ya Jiji iliyokuwepo kufuatia kuvunjwa kwa Serikali za Mitaa mwaka 1996 kulikoendelea hadi mwishoni mwa mwaka 1999.

Historia | Mkoa wa Dar es Salaam

Nairobi is 696 sq. km

2019 Kenya Population and Housing Census Volume I: Population by County and Sub-County - Kenya National Bureau of Statistics
 
Back
Top Bottom