Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni nazi enda shule kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂👇👇👇 hio vp
E5F8A5BC-667D-4473-BDCC-66586C0FCE76.jpeg
1EFD8E00-E167-431B-950A-3ED1F0A0ED26.jpeg
 
Kilimani hahahaha 😂😂😂😂 ilala ina density kubwa kuliko upperhill + kilimani combined
Ilala gani,ile density slum yenye ata kwa kupumlia hakuna,just poorly planned ama msha jenga ingine Jana usiku,Tz naijua vizuri sana
 
Wewe endelea kucheka lakini General wenu Ndinda hatacheka akiona haya mateso kwa jiji lake pendwaView attachment 1410933View attachment 1410934

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako shule ulienda kusomea ujinga....
Within Dar CBD ni zaidi ya kilometer 5 kuanzia Upanga hadi Bandarini....
Screenshot_20200406-231424.jpeg

Wakati huohuo kutoka Kilimani hadi CBD ni the same distance af Kilimani ndo iko mbali na CBD af eti ndo CBD nyingine... Ushuzi
Screenshot_20200406-231941.jpeg

Jibu baki nalo which is which
Ukiambiwa Dar ni kubwa lazima ujue kwa mlengo gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako shule ulienda kusomea ujinga....
Within Dar CBD ni zaidi ya kilometer 5 kuanzia Upanga hadi Bandarini....
View attachment 1410949

Wakati huohuo kutoka Kilimani hadi CBD ni the same distance af Kilimani ndo iko mbali na CBD af eti ndo CBD nyingine... Ushuzi
View attachment 1410955

Jibu baki nalo which is which
Ukiambiwa Dar ni kubwa lazima ujue kwa mlengo gani

Sent using Jamii Forums mobile app
nyie mnabishana na chizi lenye asili ya ukora.....hapo akili yake ni matope tu hata avatar yake ina define how yupo dig kiupeo hadi kifikra....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom