Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu nimekutana na page konki ya mwanza ila tatizo ipo blocked

Nimejaribu kupekua maapps ya kupakua pictures huko lakini yote yamefeli

Kuna contents konki kuhusu Mwanza and the photographs quality ni another world 👌👌👌

Nimejaribu kushare lakini ndio hivyo lipage limegoma mpaka kufunguka mpaka umfollow.

Screenshot_20200406-204739.png
Screenshot_20200406-204753.png
Screenshot_20200406-204803.png
Screenshot_20200406-204815.png
Screenshot_20200406-204836.png
Screenshot_20200406-204858.png
 
Wakuu nimekutana na page konki ya mwanza ila tatizo ipo blocked

Nimejaribu kupekua maapps ya kupakua pictures huko lakini yote yamefeli

Kuna contents konki kuhusu Mwanza and the photographs quality ni another world 👌👌👌

Nimejaribu kushare lakini ndio hivyo lipage limegoma mpaka kufunguka mpaka umfollow.

View attachment 1410757View attachment 1410758View attachment 1410759View attachment 1410760View attachment 1410761View attachment 1410762
Edward Wanjala hio mwanza budaa na nilikwambia hakuna mji wowote nje ya nairobi unaikamata mwanza kwenye suburbs na kama uko tayar niambie😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom