komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mwenzako ka post ferry nikaamua kumjibu kw hoja..Kwn c tunapambana kuhusu marine sector au unajitoa ufahamu hahahahahah
Sasa km anarukaruka shauri yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzako ka post ferry nikaamua kumjibu kw hoja..Kwn c tunapambana kuhusu marine sector au unajitoa ufahamu hahahahahah
Mwacheni tu bro relay za kichwa zishachemka sasa hazirudishi kumbukumbu😂😂😂Mwanza alone has more ferries than the whole of Kunyaland! See evidence 👇
Mwanza ferries vs Kenya ferries - JamiiForums
Unataka nilete nn? Manake hospitali sio mjengo kwnza ukumbuke[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona swali ni rahisi sana ila unazunguka hapa hutoki budaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna hoja ya kujibu wewe 😂😂😂 hii sio ile tanzania ya 90sMwenzako ka post ferry nikaamua kumjibu kw hoja..
Sasa km anarukaruka shauri yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya neno "vigezo" kwanza before tuendeleeEbu nikuulize swali,kwani unaelewa nini ukisikia mtu anasema international games/sports
Hehehe!!umeshtuka kuona ulicho post na nilichokileta haviendani[emoji1787][emoji1787]Huna hoja ya kujibu wewe [emoji23][emoji23][emoji23] hii sio ile tanzania ya 90s
Leta majengo kwanza alaf tutaingia ndani ya majengo 😁😁😁 tafuta hospitali kama hio mombasa au kisumu ukipata tu nitagUnataka nilete nn? Manake hospitali sio mjengo kwnza ukumbuke[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni nn hebu nifundishe mm 😂😂👇👇Hehehe!!umeshtuka kuona ulicho post na nilichokileta haviendani[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta vitu tulete vitu wacha maneno maneno [emoji3][emoji3]
Saidia ndugu yako leo anajamba cheche tu humu ndani😄😄😄
Hko lazima ziwe nyingi kw sababu geographical area inaruhusu..Mwanza alone has more ferries than the whole of Kunyaland! See evidence [emoji116]
Mwanza ferries vs Kenya ferries - JamiiForums
Hospitali haiwezi kuitwa hospitali bila mjengo, na vifaa haviwezi kuitwa hospitali bila jengoUnataka nilete nn? Manake hospitali sio mjengo kwnza ukumbuke[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha geographical areA ndio kisingizio kwan mwanza na kisumu kunatofaut gani ??? Kwann hua hamukubaki mukishindwa 😂😂Hko lazima ziwe nyingi kw sababu geographical area inaruhusu..
Swali ni je, ea kweli unaweza kukuta ferry yenye hadhi kama hyo hapao chiniView attachment 1409612
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani hii ina tofauti gani Mv Magogoni? both r shallow waters low speed ferries!Hko lazima ziwe nyingi kw sababu geographical area inaruhusu..
Swali ni je, ea kweli unaweza kukuta ferry yenye hadhi kama hyo hapao chiniView attachment 1409612
Sent using Jamii Forums mobile app
akipata cha kuleta nitag mkuuLeta vitu tulete vitu wacha maneno maneno [emoji3][emoji3]
Anajitia ukichaa kwamba haelewi maana ya ultra modern 😂😂😂Hospitali haiwezi kuitwa hospitali bila mjengo, na vifaa haviwezi kuitwa hospitali bila jengo
Na ndio hii👇👇👇kwani hii ina tofauti gani Mv Magogoni? both r shallow waters low speed ferries!
Unajua maana ya ferry kwnaza jomba, au uko hapa kubwatuka tuHii ni nn hebu nifundishe mm [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 1409610View attachment 1409611
Niambie hii ni nn kwanza😂😂👇👇👇