komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kwhyo mjengo bila vifaa pia sio hospitali!!periodHospitali haiwezi kuitwa hospitali bila mjengo, na vifaa haviwezi kuitwa hospitali bila jengo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwhyo mjengo bila vifaa pia sio hospitali!!periodHospitali haiwezi kuitwa hospitali bila mjengo, na vifaa haviwezi kuitwa hospitali bila jengo
Kisumu kuna visiwa vingapiAhahaha geographical areA ndio kisingizio kwan mwanza na kisumu kunatofaut gani ??? Kwann hua hamukubaki mukishindwa [emoji23][emoji23]
Naleta vitu kulingana na title vile inasomaLeta vitu tulete vitu wacha maneno maneno [emoji3][emoji3]
Huwezi nunua vifaa kama huna majengo na huwezi kujenga reli kama huna treni 😂😂
Angalia ulichoandika kwnz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji382][emoji382]
Hapo wakiingia nyoka wawili tu kinayumbakwani hii ina tofauti gani Mv Magogoni? both r shallow waters low speed ferries!
![]()
sasa kama vifaa ni tizi hayo majengo inakuwaje kuna ile picha post za juu mitungi ya gesi nikajua welding stationAnajitia ukichaa kwamba haelewi maana ya ultra modern 😂😂😂
Ndo nn hyoNaleta vitu kulingana na title vile inasomaView attachment 1409619View attachment 1409620
Sent using Jamii Forums mobile app
Vingi na vya kutosha 👇👇👇
Mzee unakosea kufanananisha Mv Jambo na Mv Safari na Sealink na Seastar! Hizi za Kenya hazina engine na navigation systems za kuwezesha kusafiri masafa marefu! Naombeni muache kumu-entertain huyu jamaa! Mv Magogoni ndo size zao!
Maskini, hyo kwanza haina hata hadhi ya ku serve likoni channel..
Nakwambia hakuna hospital ya kisasa na kubwa mombasa au kisumu kama bugando hakuna na hawatapata subiri utaona😂😂😂sasa kama vifaa ni tizi hayo majengo inakuwaje kuna ile picha post za juu mitungi ya gesi nikajua welding station
kumbe mitungi ya 0xygen hospital🏨🏨
Ndio ulete vifaa basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwezi nunua vifaa kama huna majengo na huwezi kujenga reli kama huna treni [emoji23][emoji23]
Jibu swali hii ni nn mambo ya ku serve Likonj yanatoka wapi👇👇👇👇Maskini, hyo kwanza haina hata hadhi ya ku serve likoni channel..
Unajua kwnn dongo kundu inajengwa
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo size ya Mv Jambo na Mv safari kuvusha abiria na magari Likoni Channel kama Mv Magogoni inavusha abiria na magari Magogoni channel!
Majengo umekosa mombasa + kisumu sawa 😂Ndio ulete vifaa basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo ndo patamu sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa kama vifaa ni tizi hayo majengo inakuwaje kuna ile picha post za juu mitungi ya gesi nikajua welding station
kumbe mitungi ya 0xygen hospital[emoji545][emoji545]
Nakwambia hakuna hospital ya kisasa na kubwa mombasa au kisumu kama bugando hakuna na hawatapata subiri utaona[emoji23][emoji23][emoji23]
Inashangaza sana
Nimemuuliza swali jingine kabisa bro hata usijal 😂😂😂Mzee unakosea kufanananisha Mv Jambo na Mv Safari na Sealink na Seastar! Hizi za Kenya hazina engine na navigation systems za kuwezesha kusafiri masafa marefu! Naombeni muache kumu-entertain huyu jamaa! Mv Magogoni ndo size zao!