Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mkuu hawa kunguni wakikenya tuwaache tu waendelee kujiurahisha kwa kujiita middle income..

tuendelee kuwaenjoy tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuambia hv mkuu najua pesa mtaani kwa ss imepotea kiasi na kweli asilimia kubwa ya wananchi wana hali tete lkn hatupigi kelele kwakuwa tunaona kinachofanyika, yn huyu Magu angelimrithi Mkapa baada ya kutoka madarakani nadhani tungelikuwa mbali sn leo hii, ila nnacho propose mm ni kwamba huyu Magu apewe muda fulani hv ata miaka 20 zen atoke cz nchi itakuwa tayari ipo vzr but akiendelea huyu Mzee hatuta enjoy tutajenga mpk makaburini [emoji3][emoji3][emoji3]
 
.
FB_IMG_15860755572380384.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya bhn km mazuzu, wanapendaga kujifariji kwa kuiweka kenya na nchi ambazo hata haiendani nazo, hata kwenye matatizo watatumia kila liwezekanalo ili wajifariji, hawa watu ni wajinga sana, Eti Kenya, South Korea & the UK singled out, bac hapo mkenya kwa akili zake mbovu anafarijika kuona hvyo hata ikiwa ni disaster, poor Kunyans
 
[emoji23][emoji23] usilie baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuambia hv mkuu najua pesa mtaani kwa ss imepotea kiasi na kweli asilimia kubwa ya wananchi wana hali tete lkn hatupigi kelele kwakuwa tunaona kinachofanyika, yn huyu Magu angelimrithi Mkapa baada ya kutoka madarakani nadhani tungelikuwa mbali sn leo hii, ila nnacho propose mm ni kwamba huyu Magu apewe muda fulani hv ata miaka 20 zen atoke cz nchi itakuwa tayari ipo vzr but akiendelea huyu Mzee hatuta enjoy tutajenga mpk makaburini [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hawa wakenya wanapenda nyumba za mabati [emoji23][emoji23] Hadi katikati ya mji

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio km wanapenda ni maisha tu yamewachapa mkuu, unajua Afrika hapa cc watanzania tumshukuru sn Mungu japo tatzo letu kubwa ni viongozi kukosa uzalendo, lkn kuhusu maisha mzee nchi nyng Afrika hii raia wake wana struggle sn ucbabaike na vipicha vyao wanavyopost humu, wana maisha magumu mnoo
 
Back
Top Bottom