Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Reli yenu ingeishia no where . Be reasonable. Hizo cooked data waulize ugiriki waliumbuka. GDP kiasi hicho bado mnategemea donation ya chakula.

kitochi
Hata nyinyi ingieni jikoni mkapike Takwimu mtupiku. Si mlisema mnajenga kwa pesa za ndani na tayari KM 100 zimewashinda. Mlisema mna pesa za ndani mbona Bagamoyo port ikawashinda?
 
Reli yenu ingeishia no where . Be reasonable. Hizo cooked data waulize ugiriki waliumbuka. GDP kiasi hicho bado mnategemea donation ya chakula.

kitochi
Tunategemea donation, kweli akili zako fupi[emoji1787][emoji1787]
Tena wwngine wakitaka kuutupa misaada walete tu, manake hatuwaombi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwez kuimba mambo ya GDP hapa wakat nchi ikitikiswa kidogo bidhaa zinakwenda juu tena hasa vyakula πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

mwaswast tuliza kichwa budaa

2020 bado mpo LDC? Najua inauma but itabidi uzoee. Kama rangi ya Kenya na Tz hazifanani, reply πŸ˜‰
 
To be no. 1 is not the case, the issue is can u be able to remain at that number, [emoji3][emoji3] hzo nchi zilizo juu ya Tz zote hazina uwezo wa kupambana na Tz km tukiamua, hv ushawahi jiuliza kwnn baada ya kutoka Nyerere madarakani nchi ikapoteza namba yake? Kumbuka kwamba by the time Tanzania leads the region economically Kenya was more industrialized than any country in the region na hzo industries zilikuwa lead by whites, hapa nakukumbusha tu kwmb even wazungu failed to help you beating Tz economically, unajua ni kwnn? Nchi hii imebarikiwa mali za kila aina including oil ambapo tunasubiri tu confirmation kutoka kwa experties, ss leo Nyerere karudi kwa style nyingine na miaka yake mi5 tu ya mwanzo imetosha kuwaonesha Tz maana yake nini, ss subirini miaka yake mingine miwili ya kuzindua zen mitatu itayobaki ya kuuwa kila kitu [emoji3][emoji3][emoji3] omba uhai ushuhudie Tz ikipambana na SA, Egypt and Maroc na co Kenya, inauma ila ndo hamna jinc lazima mzimeze tu hz bitter pills[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Niliskia hizi hadithi zenu za kutupiku hapa hapa miaka zaidi ya kumi iliyopita. Ati mpambane na kina Egypt πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ligi yenu Burundi, Somalia na South Sudan.
 
Niliskia hizi hadithi zenu za kutupiku hapa hapa miaka zaidi ya kumi iliyopita. Ati mpambane na kina Egypt [emoji23][emoji23][emoji23] ligi yenu Burundi, Somalia na South Sudan.
Omba uhai af mpaka hapa tunaongea tunasubiri report mpya itoke hapo mwakani zen wote humu mtarudi facebook [emoji3][emoji3]
 
Ndoto za tangu miaka 90s hzo[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…