Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mungu ndio anajua hatima ya huu ugonjwa, kwhyo hayo mawazo yako hata hayana faida yyte katika hii dunia ambayo watu sai wameamua kumlilia muumba wao

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu tena?, Mungu alitumrisha kwamba tuzidi kumuomba na kumkibilia tunapopata shida, ninyi badala ya kumkibilia, sasa hivi mnamkibia hamtaki hata kukaribia nyumba zake, mnaogopa Corona kuliko Mungu, hamuamini tena kwamba Mungu anaweza kuwaponyesha, badala yake mnawasikiliza madaktari wanaosema mkienda kusali mtaambukizana. Acha kumtania Mungu, tupambane wenyewe kama wanadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi ndio mdudu gani, kw Mungu hakuna kitu km nynyi..
Kila mtu na mzigo wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww kombora wacha kunichosha kwa kubadili gear angani cc hoja yetu ni kwamba ICU beds co ICU but icu ni muunganiko wa facilities nyng ikiwemo beds
Mbna hutaki kukubali km ICU beds nazo ni healthcare facilities[emoji1787][emoji1787]
Najua hutaki kuumbuka manake kulingana na definition walionyeshe kabisa km huenda ikawa ni department of a hospital au health care facility...
Anyway swa tu, wacha yaishi hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…