The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Ndugu zetu ndo mshajifungia saizi au co
Says a man anayetukuza kariakoo ambayo imeshikana na posta pua na mdomoNiliwahi kuwaambia hiyo Upperhill na CBD ni sehemu hiyo hiyo ila wanavyoitukuza utafikiri ni mji mwingine wa mbali.
Mm nakwambia tanzania ni regional hub ya mambo ya tiba east africa yani magu ni mjanja sana kwenye mipaka yote ya nchi kasimika hospitali kubwa na za kisasa kabisa
Bwahahaaa!!na "usikute" kweli tu, usijaliUckute wala haiko hvyo sema kwasabu nyie ni Wakenya kupindisha ukweli ni jadi yenu
Hasira za nnMandazi madogo yamejaa upepo, andazi moja la tz = na matatu ya Kenya
Wakenya hadi kachumbari wanauziwa ksh50
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app





Ushawahi kuona tunaipa kariakoo hadhi ya mji wa kipekee? Sehemu tunayoipa hadhi hiyo ni kijitonyama ambayo iko mbali na CBD.Says a man anayetukuza kariakoo ambayo imeshikana na posta pua na mdomo
Hii ngoma c ya Mbagala hiiOhhh sisi tunajenga BRTView attachment 1403289View attachment 1403290View attachment 1403291View attachment 1403292View attachment 1403293View attachment 1403294View attachment 1403295View attachment 1403296View attachment 1403297View attachment 1403298View attachment 1403299View attachment 1403300View attachment 1403301View attachment 1403302View attachment 1403303View attachment 1403304View attachment 1403306View attachment 1403307View attachment 1403308View attachment 1403309
Amna mkuu ilionesha menu kabisa kwa mama, kachumbari inauzwa mkuu



Vitanda 600 ni vingi mpaka raha..man...ni kama KCMC Ilivyojengwa before kupanuliwa ...i think now kwa wodi zilizoongezwa its around 900 na iko under big expansion ya Kujenga Orthopedics , Cardiothoracic centres kubwa
Hizo hosptials ni addition ya 1000+ beds na bado kuna ya Tunduma ..akinifumulia nyingne Kigoma , Ngara , na Kyela mipakani humo itakua bomba ..sema hi COVID ina slow down mambo sana
Mikataba mibovu ... I thinkkuna wazo linakuja kwann yule mkurugenzi wa zaman wa NHC alikufukuzwa na miradi ya pale kawe imesimama kidogo![]()
Yeah man..alfu something tells me vituo vyake vitakua vikali kinoma...let us see...pia ndani ya mwaka huu au Ujao wanaweza sign phase 3 ya kwenda Gongo la mboto na Phase 4 ya Tegeta ..maana world bank walikuwa washa commit kutoa soft loanHii ngoma c ya Mbagala hii