Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uswazi ndio habari ya mjini dar, kila kona unazikuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Uswazi is the sustainable settlements unlike slums 😂😂😂😂na tatizo kwenye uswazi ni planning pekee and not houses! 98%ni za block and nearly 60%utakuta ni self contained 😂😂😂na program ya kutengeneza barabara barabara maeneo ya uswazi bado inaendelea eg picha ya Tandale pitia nyuma utaona, and that is the difference between us and you 😂😂
 
Hii hapa tandale mpe😂😂👇👇
0EA4464A-0874-4CBA-A652-ACA9BD9DCC9A.jpeg
 
Tena bila shaka hyo screen shot imepgwa na Tecno j7 ya kitambo sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tecno c5😂😂😂tunataka tuone hii 👇jinsi inavyozungukwa na uchafu halafu wanakuja kujadili humu et Nairobi iko planned than Dar 😂😂
2351853_F3A50587-3D07-416D-97AC-6A43E51AA45D.png
 
Uswazi is the sustainable settlements unlike slums [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na tatizo kwenye uswazi ni planning pekee and not houses! 98%ni za block and nearly 60%utakuta ni self contained [emoji23][emoji23][emoji23]na program ya kutengeneza barabara barabara maeneo ya uswazi bado inaendelea eg picha ya Tandale pitia nyuma utaona, and that is the difference between us and you [emoji23][emoji23]
na isitoshe akae akijua hayo maeneo kadri miaka inavyosogea watu wanatia pesa....mfano manzese inafumuka mdogo mdogo.....na imeshakuwa na taswira mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Since you have low supply of houses, unashangaa nini and you don't know the inflation rate in Nairobi 😂😂
Yani wanamaisha magumu ya kinyama kabisa alaf wanakuja hapa kufungua makalio yao😂😂 walizoea kuwadanganya Wanigeria kule nairaland Wakafkiri na hapa watakuja na gear zile zile😂😂😂
 
Back
Top Bottom