Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuweni makini na huyo mjinga,
Ana tabia ya kucrop picha za slums zao ili zionekane zile sehemu nzuri tu 😂😂😂
Ushahidi ni siku ile alivyo post riruta slum.
Hata wewe Ingia google earth utuletee ambazo haziko cropped. Nani amekuzuia?
 
Wapi nyumba ya mabati hapo bongolala?
Kwani kuanzia lini umepatwa na matatizo ya macho 😁😨remember that sio wewe tu unayeona 😂😂😂kwamba ukishasema huoni nyumba ya mabati watu wataamini 😂😂😂😂
 
Uswazi is the sustainable settlements unlike slums 😂😂😂😂na tatizo kwenye uswazi ni planning pekee and not houses! 98%ni za block and nearly 60%utakuta ni self contained 😂😂😂na program ya kutengeneza barabara barabara maeneo ya uswazi bado inaendelea eg picha ya Tandale pitia nyuma utaona, and that is the difference between us and you 😂😂
Hizi za kawangware ulizoleta si za block?
PhotoGrid_1585477907395.jpg

Nyinyi Endeleeni kuishi kwenye hizo dream houses zenu. Sisi huku kwetu hizo ni slums
 
Kwani kuanzia lini umepatwa na matatizo ya macho 😁😨remember that sio wewe tu unayeona 😂😂😂kwamba ukishasema huoni nyumba ya mabati watu wataamini 😂😂😂😂
I have asked you a very simple question: Wapi nyumba ya mabati Kwa Hiyo picha uliyoleta? Mbona mambo rahisi unaweka yawe magumu?
 
Hata wewe Ingia google earth utuletee ambazo haziko cropped. Nani amekuzuia?
Makasiriko ni ya nini 😂😂😂
Hivi unadhani nili kuquote bila kuisearch hiyo riruta slum kwanza,
Riruta slum ni moja ya sehemu yenye vitendo hatarishi hapo Kenya kama ujambazi, ubakaji nk
Hiyo riruta slum ina vibanda vya mabati mnoo,
Yaani unachopost hapa ni sawa sawa uende katikati au pembeni ya kibera halafu ujenge nyumba nzuri halafu unakuwa umezungukwa na nyumba za bati after bati,
Kuna comments zipo kwa hii video zisome.

Hii ndio riruta slum halisi wachana na alicho post,
Tena ni kama wameichapa filters hapa 😂😂😂
Nyumba za mabati kama kawaida. View attachment 1371632View attachment 1371633View attachment 1371634
 
There are countries that are under total knockdown right now, if you know what that means. Does it mean their presidents are dictators?
Kwahyo ww unatetea upuuzi unaofanywa na serikali ya kenya dhidi ya wananchi kwa kisingizio cha covid-19
 
Back
Top Bottom