Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
naona bongo kumempenda kanawili...safiSijawahi kufikiria kama maji yanaweza kutolewa kama msaada, [emoji848]
Kwa mara ya kwanza naona maji ya bowser yakitolewa kama msaada [emoji38][emoji38][emoji38]
Hii inaonesha jinsi gani Kenya ina biggest water crisis
Sent using Jamii Forums mobile app