Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio ujua kua tanzania ni kubwa mara mbiki ya kenya kila mkoa unaumbali mkubwa tofaut na kenya pimpi wewe
Kwani kuna mwenye alikataa hiyo? What telling you is that you should have more paved roads than Kenya because of your your country size. Your country is twice as large as Kenya but Kenya doubles you in the number of paved roads. Ungekuwa unajielewa ungejua kuwa hakuna tofauti kati yako na yule anasema kuwa his school has few students juu wako na classes mingi while the other school has more students juu wako na classes kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So 18 minus 14 maana yako ni double😂😂😂😂 aisee ww ni fala sana na hii nchi imenyanyuka just 10 yrs ago hahaha na bado tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya kweli magu amewakamata
 
Kenya's total paved roads are 20,000km while that of Tanzania is 8,000km. What is 20000/8000? Kama kweli ulienda shule?
So 18 minus 14 maana yako ni double aisee ww ni fala sana na hii nchi imenyanyuka just 10 yrs ago hahaha na bado tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya kweli magu amewakamata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mmekuwa vichwa wazi, mnatumia nguvu the word "slum" is a new vocabulary in Tz
Really?
IMG_20200324_162758_227.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya's total paved roads are 20,000km while that of Tanzania is 8,000km. What is 20000/8000? Kama kweli ulienda shule?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana niliwah kutoa hadi taarifa ya tanroad ilioshia 2018 humu lakini naona unapunguza figure ...report ilikua na 12573km are paved mwaka 2018 so anzia pale hadi leo hatujajenga barabara kabisa?
Ndio maan mnatukwanwa sana humu kwa kupenda vitu cha kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo. Here is your total paved roads as of August last year. Your paved roads is 6700km if you read this link.
Kijana niliwah kutoa hadi taarifa ya tanroad ilioshia 2018 humu lakini naona unapunguza figure ...report ilikua na 12573km are paved mwaka 2018 so anzia pale hadi leo hatujajenga barabara kabisa?
Ndio maan mnatukwanwa sana humu kwa kupenda vitu cha kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
View Project

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we wakuja tu mruga ruga huna lolote

ndiyo inawezekana kuwa ulizaliwa town ya kijiji maana ndipo angalau kuna ile dispensary moja ya kata

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwahahaa!!usipindishe mada
Ukwel mnajivunia kujenga uswazi mjini, noma sana, vijini kwenu hamna kitu ndio manake mnangangania kujenga ma squalors dar..
Manake unajua ukirudi tu unaenda kuishi shamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom