Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Hiyo ni kibera,anasema darNina wasi wasi na uwezo wa ubongo wako ππyaani ukishagoogle Dar basi picha zote zinazo kuja ni za Dar ππππivi hii ni dar sehemu gani πππkama hujui, ujue wewe ndio kubwa jinga humu πView attachment 1397732
Hzo mashine hapo watakuambia walishabomoa kibera nzma[emoji3][emoji3]this is kenya nchi yenye maisha mazuri kwa kila mwananchi,,nchi tajiri kuliko zote duniani nchi yenye watu wenye akili nyingi kupitiliza,,nchi yenye wakali kibao wakutoka nduki speed ya ndege,,, nchi yenye nzige bora,nchi yenye makazi bora,, nchi yenye wananchi wasio na shida
yaaani kenya ni boraaaaa kuliko ubora[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
I LOVE NAIROBI CITY
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1397842View attachment 1397843View attachment 1397845View attachment 1397846View attachment 1397847View attachment 1397848View attachment 1397849View attachment 1397850View attachment 1397852View attachment 1397853View attachment 1397854View attachment 1397855View attachment 1397856View attachment 1397857View attachment 1397858View attachment 1397859View attachment 1397860View attachment 1397861
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari za ichoboy zmekuumiza snI already told that am too mature for that Ichoboy. Even if I owned the moon, I wouldn't go posting it here. Those are characters of dunders like you
Umejibu makorokocho kabsaaNiko huku kikazi I don't need to spend my savings building a house that I will seldom use. Huenda leo niko Nairobi kesho niko kwingine.
Secondly, even if I were to build a house in Nairobi, I wouldn't build a dream house like you've built in Dar. I have higher ambitions Susana
Sio umepangisha,sema 'umepanga'..Wewe unaishi kwako hapa View attachment 1397735
Mimi nimepangisha Greenspan in Donholm.View attachment 1397741View attachment 1397742
Tumia akili sasa hata kama ni kidogo
Wakenya sio wazima,lazima kuna kitu wrong katika vichwa zao..maisha gani hayoNa siku zite tour guide wa kibera national park ni mwafrica mwenzao yani ndio anawaonesha maisha ya wenzao wakiishi kama nguruwe
View attachment 1397762
View attachment 1397767
Huku mvua ikinyesha sijui kuna kuwaje aisee...Zomm unioneshe ushuzi kama huu unafkiri mzungu ni mjinga sana asione slum dar aje aone nairibiπππππππ
View attachment 1397763View attachment 1397764View attachment 1397765View attachment 1397766
Labda Tanzania ina supplies za kutosha!majamaa wametoka Kenya, wanaivuka Tanzania then wanaenda Rwanda and Zambia!
au wanaangalia wingi wa cases za corona?
Lazima ziwafikie LDC wote kwanza ππππmajamaa wametoka Kenya, wanaivuka Tanzania then wanaenda Rwanda and Zambia!
au wanaangalia wingi wa cases za corona?
Bedsitter?[emoji16][emoji16][emoji16]na kingereza yote hiiWewe unaishi kwako hapa View attachment 1397735
Mimi nimepangisha Greenspan in Donholm.View attachment 1397741View attachment 1397742
Tumia akili sasa hata kama ni kidogo
Hasa we huoni hizo majengo za Kayole ni kama magofuHizi ni picha ni ya nyumba moja moja?
View attachment 1397814View attachment 1397816View attachment 1397817
Imagine hiyo ni Kayole, and you call it a "slum" yet these ones below tunaambiwa ni dream houses in middle income estates π π π π π π π π π π π π π View attachment 1397818View attachment 1397819View attachment 1397821View attachment 1397822View attachment 1397823View attachment 1397826
Hata kama ndio uzalendo!
Hahahaaaaa!!ndio manake tunawaambia wachaga ndio watu wanajielewa sana..Hahaha mnakosea sana hapo,Mimi nikijenga mjengo wangu kwetu lengo ni kwenda kupumzika tu nikiwa likizo...siwez staafu kazi nikarudi kijijini ambapo sijawah kuishi kwa zaidi ya siku 30 kwa mwaka...mjini nmeset business,mirija kadhaa y kuingiza kipato, hata nikistaafu sichomoki town budda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulingana na standard yenu, uswazi ndio middle classHaya nambie wapi dar ni kwa walala hoi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kenya ni dampoUnatumia gas alaf unaishi humu[emoji23][emoji23][emoji116]
View attachment 1397932View attachment 1397933View attachment 1397934
Fala kweli wewe πππ mtanzania wa hali y chini anakula milo mitatu kwa siku na wa kibera anakula milo mingap????[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Jamaa wanalipia umeme hao na gesi juu, mwhyo mtanzania wa kawaida maisha hayo hayawezi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahha so ile GDP hua munalia nayo hapa iko wapi????ππππππAsante sana kw kutujuza, tanzania pia mtapata mgao wenu wa hvyo vifaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] kumbe we wakuja,, ngoja nikuache mruga ruga wakikenya,,,kumbe jiji lenyewe umelivamia....kwenu ni huko njorogo vijijini ndani ndaniUnaumia kuskia watu wanajenga vijijini, kwn unataka watu wajenge uswazi mjini...
Jenga mjengo wa hadhi kwenu, halafu uongezee na rentals juu upige hela hku wewe ukibagi kupiga kazi mjini...siku una staafu hta ukirudi kupumzika unatulia katika mjengo bila stree hku ukila kodi..
Hata wanao wakikusahau utakua umeshajipanga na kashamba kiasi tu ka kujikip busy ukilimalima
Sent using Jamii Forums mobile app