The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Ukimaliza kuongea huu upupu usisahau kwmb hakuna billionaire hata mmoja Naipori, oohh sorry Nairobi.Ndugu, usilazimishe tuwe kama nyinyi, just the same way hamuwezi kuwa kama sisi. Sisi mfumo wa dream houses hatuna. Nyumba kama hizo ulizoleta hapo juu (za wamiliki) zimejaa Nairobi. Nenda Ruai, Syokimau ama Utawala kwa mfano. Utapata kwamba nyumba za kupangisha zipo ila ni chache ukilinganisha na wanaomiliki nyumba. Most houses there are homes owned by developers themselves.
Halafu kitu kingine unafaa kufahamu kuhusu Nairobi ni kwamba hata hizo apartments unazoona, kuna za kuuzwa pia so sio kila mtu anayeishi kwa apartment building ni tenant. Wengine ni wamiliki.
The point is, ukipata mtu anamiliki nyumba Nairobi, it is a decent house, not those squalors of yours that you call dream houses.
Take a look at Ruai below. Most houses here are owned by those who developed them. Compare with your dream houses that you own with so much pride View attachment 1394980View attachment 1394981View attachment 1394987View attachment 1394988View attachment 1394990View attachment 1394991
Umekosa point unaanza kudiscuss personality, very lazy lady.Papi chulo jina la kishamba!
Acha ujinga Dar ina wakazi zaidi ya 5mill nshakuoneshaga hapaDar has five million residents. They want to make us believe that all the five million people own houses! WTF! Asilimia kubwa sana wanapangisha hizo danguro wanaita dream houses
hao mamillionare wao wenyewe hakuna anayewajua zaidi ya wakenta wenyewe...maana ndipo ukubwa wao ulipoishia wakitoka out wanakuwa millionaire uchwala[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]Ukimaliza kuongea huu upupu usisahau kwmb hakuna billionaire hata mmoja Naipori, oohh sorry Nairobi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehehee ndio mana nasema ww [emoji205] ni mgeni humuHe has a soft brain knock him out!
Ni tweet ndio lkn ndio ukweli mnamiliki slum kubwa ulimwenguniA tweet?? So you are this dumb!
Kajisahau[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Naona unapost ma picha za kibera kusema ni dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1395033
Hyo picha ndo imeonesha kweli unaokota okota picha za kibera unasema ni Dar, haya tuambie tangu lini Dar ikawa na dongo jekundu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata nyuma ya upperhill kuna ushuzi[emoji23][emoji23][emoji116]
View attachment 1395067
So, nowadays informal settlements have gotten a new definition (slums), ur pathetic budaa.DAR SLUM 70 percent informal settlements(slums)View attachment 1395106View attachment 1395107View attachment 1395108
Africa ya mashariki na Kati barabara Kama hizi zinapatikana Kenya tu na haturingi sijui mbona mnasikia wivu?
Ubora wa barabara kwa report ya mwaka 2019 tuko bampa to bampa au wewe unaishi dunia ipiAfrica ya mashariki na Kati barabara Kama hizi zinapatikana Kenya tu na haturingi sijui mbona mnasikia wivu?
Sorry about it but mtazoea tu.
Do you understand yourself? High school in Kenya is just a secondary school. An high schooler is a student between form one to form 4. And form four in Kenya is like form 6 in Tanzania and Uganda while a form one in Kenya is a for three in Tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
And kuhusu ur Uganda argument I assure you watu wanaoenda Uganda kusoma from Tanzania 95% wamefeli huku TZ, wanaenda Uganda kusomaDo you understand yourself? High school in Kenya is just a secondary school. An high schooler is a student between form one to form 4. And form four in Kenya is like form 6 in Tanzania and Uganda while a form one in Kenya is a for three in Tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
What school mkuu??I went to school with a few Tanzanians in primary school. Wao walifeli nini ndio waliamua kutafuta unafaa Kenya? You can run but you can't hide
kuna jamaa anapost mapicha picha kibao.. lkn hii moja ni KO yake tosha
View attachment 1395351
I went to school with a few Tanzanians in primary school. Wao walifeli nini ndio waliamua kutafuta unafaa Kenya? You can run but you can't hide