Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



ETYj585WAAE9l_x


ETYk84uXkAEpZbD


ETYlKZ-X0AAKRik
watakwambia meli zimetengenezwa mombasa mda si mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It’s a know fact lazy ass bitches live in UJAMAA FISHING VILLAGE ,speaking and writing sub standard broken English.Stick to Swahili it all are good at,Your word order is considered pidgin worse than broken English.
Ubepari ndio Umewafny muishi maisha ambayo nguruwe anaishi alaf unatupigia kelele hapa. Unatupigia kelele hata robo ya ardhi humiliki alaf unjimwambafay huku jamii forum ukidhani we mboga saba wakat unashindia githeri na chan'gaa usituletee ujing Wako apa huu uzi umeukutaa kama umeshindwa tembeaa we vip mbna wenzakp hawana reaction za kikuda hivyooo unapo pingwa kwa hoja jibu kwa hoja. Na kujua kingereza sio ndio kumalza kila kituu. Mna shida mpka kweny vyupi mkija uku kelele mtafikri maisha boraa...
 
Mngekuwa na akili kama mngedumisha utamaduni wa asili ya makabila "yenyu". Sasa ukabila "wenyu" unafaida gani kama hauna ustaarabu.

Sisi Tanzania tunaustaarabu unaong'aa mpaka nje ya mipaka yetu, mfano uvaaji wa khanga, michoro ya tinga tinga, vinyago vya kimakonde, nyimbo za kigogo, utamaduni wa Zanzibar, bongo flava, singeli, kiswahili n.k
Na ndicho alichoambiwa nashangaa ameshindwa kuelewa anatujazia server na mivitu inayopatikana Africa nzma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom