Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi + Nairobi metropol+ Mombasa - Slums = Dar es salaam
Huu ni ukweli mwingine msije sema atukuwaambia
When Kenya was rated above Tanzania last year what did you people say? To you guys, something is only good if it places Tanzania above Kenya. Any other thing ni ya kupikwa na ya makaratasi. Horrible!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cjui kwnn anaogopa, au ndo tuamini kwmb alifny vile kuwakilisha ukenya wake "kujitutumua" ebhn ichoboy kwnn usimlipue huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikimlipua sasa hvi watakimbia wote tutakua hatuna wapunzani acha wakae kidogo wajionee tanzania ilipo alaf dawa yake ntampa moja kwa moja nyie tulieni tu😂😂
 
Mngekuwa na akili kama mngedumisha utamaduni wa asili ya makabila "yenyu". Sasa ukabila "wenyu" unafaida gani kama hauna ustaarabu.

Sisi Tanzania tunaustarabu unaong'aa mpaka nje ya mipaka yetu, mfano uvaaji wa Khanga, michoro ya tinga tinga, Vinyago vya kimakonde, nyimbo za kigogo, utamaduni wa Zanzibar, bongo flava, singeli, kiswahili n.k
Halafu kwenye makumbusho yao kuna vitu ambavyo vipo kila mahali from Africa mpaka mabara mengine. Sasa kama mnyama eti anakua ndio kinyago cha asili lets say twiga jamani kuna kipi kipya hapo. Ila ukiona lile chaka la watu unajua mwenyewe kuwa this is unique na unajua fika hii imetoka TZ na soon wataiga nakuanza kuchonga vinyago vya wamakonde
 
watakula fimbo za faini za kutosha......miliki za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wabongo bana cheki walivoifanya probox
A87DF16E-D677-40D5-B63D-296552E6BA5E.jpeg
 
Halafu kwenye makumbusho yao kuna vitu ambavyo vipo kila mahali from Africa mpaka mabara mengine. Sasa kama mnyama eti anakua ndio kinyago cha asili lets say twiga jamani kuna kipi kipya hapo. Ila ukiona lile chaka la watu unajua mwenyewe kuwa this is unique na unajua fika hii imetoka TZ na soon wataiga nakuanza kuchonga vinyago vya wamakonde
Kwani hamjui washatangaza wamakonde kama kabila mojawapo huko Kunyaland?
 
Cha ajabu ni kwamba wewe ndio hujui unachosema. In order to convert to electric rail, Kenya will need 1,000 MW of uninterrupted electricity. Kenya currently has installed capacity of 2,700 MW against the national peak demand of 1,800 MW as of 2019. That leaves us with only around 900 MW to play around with which is still isn't enough to run electric trains. You should thank me for this piece of information
1000MW from which ground?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom