ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
inshallah usijal👍👍👍👍 iwe pick up ndio zinakubali sana mitoko na starehesafi
napenda nizimodify zikae kichoyochoyo au kiluxury flan hiv
gari la kujidai nalo wakati wa matembezi au mitoko
View attachment 1389816View attachment 1389817View attachment 1389818View attachment 1389819
panapo majaliwa.. mwaka mmoja ujao au miwili.. lazima niwe na kitu kama hiki ndani
