Of course lkn don live kwa labda labda maana contact za Mr president anazo failure on serious matters inaku punguzia credit at all, me naelewa vema lkn when it comes kwenye hili sacrifice ni muhusika tu, au mzee we kwenye issue kama hii ungesolve vp?
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Moja mi nimeona kuna kitu kimefichika! Kwa mfano kwann blame ya kutofukuza regional Engineer na wale 12 asipewe Waziri Mkuu badala yake Waziri na mkurugenzi TANROAD? Je kati ya hao kuna anayeweza ku-overturn decision made by PM aliyesema ahamishwe? Na sheria za nchi zinasemaje?
Pili, agizo katika suala la kujenga daraja la muda pembeni alitoa PM ili magari yapite matokeo yake hydrological maps hazikutazamwa vizuri pia upana wa flood basin haukuangaliwa na pia ubadilikanaji wa mkondo kutoka sehemu yake asili pia! matokeo yake maamuzi ya kisiasa! Baada ya siku kadhaa daraja limesombwa tena!
Tatu, Pamoja na kwamba mvua imechangia ila ukiangalia alipopita Rais leo, unaona kabisa river banks zimekuwa sort of constrained maana yake mkondo umefinywa na shughuli za kilimo je huko upper riparian areas kwa kiasi gani alteration hiyo imefanyika je principles za fluid dynamics zinaangaliwa kwa mapana yake? Je 60m za kuacha mto upumue kama sheria za mazingira za nchi zinavyosema zimezingatiwa?
Nne, je huu mto Kiegeya si distributary ya bwawa Mtera? Je Bwawa la Kidatu? Bwawa la Mtera au Bwawa la Kidatu si Wami River Basin System? How big is the catchment area? Si majuzi tuliambiwa mlango wa Bwawa utafunguliwa kulinusuru lisi-overflow na kuleta floods ama hata dam banks kupasuka na kuleta madhara mabaya zaidi? Je si maafa haya yamesababishwa na hili?
Tano na kama Bwawa la Mtera halipo Wami basin, je hakuna mabwawa mengine ya Umeme ama Umwagiliaji upper Riparian areas kati ya Kilosa na Kongwa/Mpwapwa yaliyofunguliwa maji kupunguza kina na kusababisha floods lower Riparian? Sasa cha ajabu nini kama madaraja yanasombwa na water velocity kubwa?
Hii maneno leo imenifanya nijiulize mara kumikumi? Je JPM aliuliza watalaam wetu wa SUA juu ya hili? Kama hapana jee maamuzi yake yako sahihi? Kusema kweli ndo maana huwa sipendi mob justice ya JPM kuna vitu vinapaswa kuangaliwa kwa kina kwa kiasi kikubwa naweza kuhusisha hili la nne na la tano na ubomokaji wa daraja la mto Kiegeya mara mbili.
To prove this I will prefer a more scientific approach!