Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kijitonyama baby
IMG_20200122_183227.jpg
IMG_20200122_183224.jpg
IMG_20200122_183220.jpg
 
Ili hii barabara iwe vizuri kuna haja ya interchange kama ya ubungo pale mwenge ...na morroco...hapo hio road itaenda vizuri..na pia ni future plan nzuri..au wakianz hata na over pass kama ya tazara which is not so costfull

Waje wapanue pia Coco beach-Masaki-Msasani-Mikocheni- Kawe iwe 2*2 road hio itafanya watu wote wa kawe na mbezi beach wanaoenda posta wasipitie mwenge waje wapitie msasani - msaki- coco beach - new selender bridge waingie posta sema hio strech ya Upanga- posta itakuwa ina magari ya kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenge watajenga pale plan ipo kabisa
 
Sio tena 4% 😀😀😀😀😀

Sasa since Mabeberu au mabwana was Kenya bali wametakaswa Sasa kwa kutoa ripoti positive...would it be just Kuna uchaguzi 2020 na Jemedari Magu anapewa hell mwezi Mei?

Uchaguzi ni wa lini bro?
 
Mushaanza kuchanganyikiwa sasa😀😀😀😀 yani tungepitisha sheria huyu jamaa atawale hata miaka 20 mgetia akili nyinyi
 
Back
Top Bottom