mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Kampeni 2020 kwa kusingizia Elimu yenu duni 😁Kwanza unajua huo mkopo ni kwa ajili ya nn??
Kampeni 2020 kwa kusingizia Elimu yenu duni 😁Kwanza unajua huo mkopo ni kwa ajili ya nn??
Githurai, kayole zinakaa hivi
Habari wanayo😀😀😀
For those who don't like the truth...google map is here because of youView attachment 1381057View attachment 1381058
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaoneka wewe bado uko stone ageIla kuna mambo yanakera sana tuna derby kubwa Afrika tunajivunia lkn bdo kuna wapuuzi bdo wamelala sn, haiwezekani mechi kubwa km hii ya leo isipatikane kwny mtandao mkubwa km Live scores, huu ni udhaifu mkubwa sana kwakweli, mara nyingi nmekuwa nikiingia live scores con ligi ya bongo lkn ya wenzetu Mungiki japo haina mvuto lkn wanaitangaza sn hata ukiangalia pale supersport utaona matangazo ya ligi ya kenya, ila hii yetu haya majinga TFF yamelala tu kazi yao kupanga matokeo hamna yanachofanya kuongeza thamani ya ligi, yn yanaturudisha Tz ile ya upigaji.View attachment 1381122
Hyo ni live score
Kwenye site zingine za livecsore waliweka.Ila kuna mambo yanakera sana tuna derby kubwa Afrika tunajivunia lkn bdo kuna wapuuzi bdo wamelala sn, haiwezekani mechi kubwa km hii ya leo isipatikane kwny mtandao mkubwa km Live scores, huu ni udhaifu mkubwa sana kwakweli, mara nyingi nmekuwa nikiingia live scores con ligi ya bongo lkn ya wenzetu Mungiki japo haina mvuto lkn wanaitangaza sn hata ukiangalia pale supersport utaona matangazo ya ligi ya kenya, ila hii yetu haya majinga TFF yamelala tu kazi yao kupanga matokeo hamna yanachofanya kuongeza thamani ya ligi, yn yanaturudisha Tz ile ya upigaji.View attachment 1381122
Ukimaliza kuhara utuambie.Yani tower tatu ndio zimewapa kiburi cha kujilinganisha na the mighty Nairobi?.Ndio hiyo Kilimani na kacbd kao kadoo....View attachment 1381123View attachment 1381124
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ila ata hvyo bdo tff wako nyuma sn kwa maoni yng lkn, btw leo nmefurahi
Yah mkuuKwenye site zingine za livecsore waliweka.