Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya ni Nairobi pekee nje ya Nairobi ni ushuzi bahat nzuri mm nimetembea sana counties nje ya Nairobi yani ni vichekesho ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Sawasawa kijana wa Tandale. Lakini mbona hatuko pamoja nanyi kwenye lile kundi? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
I don't blame you, I blame your education system Mr. Geography
Basi subiri dawa yako ya BRT mwenzio nimempa dawa mpaka leo kapotea haamini na nilimwambia kuna siku mutajionea sasa subiri zamu yako wewe yakutudanganya munajenga BRT nakuandalia bomu hilo lazma uondoke nalo humu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Survey inatumika kwenye photography anatuletea picha zimesimamishwa kwenda juu huku tukiona majengo yanaringana๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Mwenzako kapotea na sindano hzi bado wewe nakuandalia bomu lako la BRT๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ utafurah na roho yako tulia tuView attachment 1375926View attachment 1375927View attachment 1375929
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Inauma ila ndo basi
PhotoGrid_1579118198540.jpg
 
Unauliza geography na ujenzi wa nyumba ati zinaingilianaje!!??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1751][emoji1751][emoji1751]

Aisee kweli humu tuna argue na vilaza
Hao majamaa ni mataira wa kibera na mathare ambao wanaropoka hovyo na hata shule hawaijuhi si unaona hata ngeli yao n ya kubahatisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom