Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hapo chini ya miti kuna slums
Come again
DwQImdcXcAEabel.jpg
 
Sasa mbona kariakoo pekee ina maghorofa mengi kuliko utu tupicha ulichopost 😂😂😂
Kariakoo hakuna cha maana less than 15flrs pathetic buildings, NBO CBD is mostly 20frl and above smart buildings,,kariakoo inaweza chapwa na estates za Nairobi kama Zimmerman, kasarani,Eastleigh and others
 
Kariakoo kuna mpaka 20 floors mbuzi wewe
 
Kama Dar ndio haiwezani na Mombasa port sasa Tanga ndio nini
Mupambane na haya madudu kwanza👇👇👇
Munaeza kupokea containers hata million 100 kwa mwaka alaf pesa yote ikaishia mifukoni mwa watu alaf mubakie kusifia makontena kila siku yasiokua na faida kwa uchumi wenu

Back
Top Bottom