Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Miradi ya upigaji na icyo na tija haina nafasi kwa Tz
What a stupid excuse. How many times do you people say here that development in Kenya is only concentrated in Nairobi? Now that we are posting projects outside Nairobi inakuwa sasa eti miradi isiyo na tija. Very useless people!
 
They will tell you that development is only in Nairobi.

This is Nakuru.

View attachment 1373573
And when we post development projects outside Nairobi wanabadilisha story eti miradi isiyo na tija. Hizo miradi zingekuwa kwao si tungekuwa tunaambiwa hapa kila siku vile hii sio Tanzania ya 90s. These guys are so stupid!
 
Dope
tapatalk_1583078863997.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani Kenya itasubr sn kwa Tz na ndiyo maana nampongeza sana Magu aliliona hili kwmb kwa ss tufanye miradi yny ROI ya fasta majengo kwnz tupotezee, na km angetaka cfa za majengo hz pesa za hii miradi ange invest kwny majengo czani km kuna paka yeyote angekatiza pua yake, ila Magu mjanja kachanga karata kaona kwnz infrastructures zen majengo yatakuja yenyewetu yatake yasitake, Magu is very Genius prezdaa
Kwa hivyo majengo yenu zinajengwa tu na serikali? What is the private sector doing? Aren't there serious investors in Tanzania who can invest in putting up buildings apart from the government? Na tukiwaambia uchumi wa Nairobi ni kubwa maradafu mnaanza kucatch feelings
 
Back
Top Bottom